mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,661
- 18,035
Nasikia wanawake husema kuwa, hisia za MUME wa kwanza hazisahauliki, ukitokea upenyo kidogo tu, lazima autumie!!
ilikuwaje mpaka ukabonyeza namba zote hizo ??Msaada nimebonyeza **21*0789552131#
Kumbe nimedivert my number any one who know to undivert help me nibonyeze nn kujitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwaje mpaka ukabonyeza namba zote hizo ??
Hebu pga kwanza *#21# ikionesha "forwarded" imekula kwako ikionesha "not forwaded" hpo fresh bdo nafikiria code ya kupiga ili kujitoa nimesahau kdg ntakujulisha nikikumbuka ama wadau humu watatusaidia!
Kwa hiyo hiyo hapo juu ni namba ya mpenzi wako?Niliona sehemu tu kuhack namba ya mpenzio bonyeza.........nkabonyeza Sasa s naweka my number tena
Sent using Jamii Forums mobile app