Mzee wa miaka 75 ampa mimba binti wa miaka 13

ruanganyi

Senior Member
Aug 19, 2014
115
31
Pa-Alabi.jpg


Matukio ya mimba za utotoni yamekuwa yakijitokeza kila kukicha yakiwa na sura tofauti, mengi yametajwa kuharibu maisha na kupoteza ndoto za wasichana wengi.


Kutoka Nigeria Mzee mwenye umri wa miaka 75 anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi mwenye umri wa miaka 13.Mzee huyo Pa Alabi ambaye ni fundi seremala aliombwa na binti huyo kumtengenezea kiboksi cha kuhifadhia pesa zake, baada ya kumpa kiboksi hicho akaanza kumtongoza na kujenga ukaribu nae hadi binti akakubali.


"..Siku yenyewe nilimwelezea hisia zangu na akaahidi kulifikiria suala hilo na baadae akakubali, tulikutana kimwili pale nilipomuomba na tulikuwa tukiheshimiana, ghafla akaacha kuja kwangu baada ya siku tano baada ya ile siku ya kwanza tulipokutana kimwili. Siku moja akaja na kuniambia Bibi yake alimwambia ni mjamzito ndipo alipoacha kuja kwangu na sikumuona tena hadi Polisi walipokuja kunikamata.
 
Na huyo binti hana hata uoga! ngumu sana kuingia akilini

Kweli kuna mchezo hapo
 
Back
Top Bottom