Naomba kujua wasifu wa Mzee wa masaptasapta

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,566
Napenda sana kumtazama huyu jamaa siku hizi Chef Fred Uisso.

Jamaa anapika vyakula mbalimbali vya makabila Tanzania,kupitia yeye najifunza kuacha mapishi ya kuiga iga na ya mazoea.

Jamaa anapenda sana kuonja onja

Naombeni kujua wasifu wake.
 
Jamaa anafit sana taaluma yake.
Safari yake kwenye boma za wamasai amekomeshwa

Moja walipika chakula ambacho wanaume hawatakiwi kukila,jamaa akabaki tu kando

Mbili wamechoma nyama ya mbuzi ila wamasai wanakula bila chumvi
 
Napenda sana kumtazama huyu jamaa siku hizi Chef Fred Uisso.

Jamaa anapika vyakula mbalimbali vya makabila Tanzania,kupitia yeye najifunza kuacha mapishi ya kuiga iga na ya mazoea.

Jamaa anapenda sana kuonja onja

Naombeni kujua wasifu wake.
Wasifu wake ni kuwa aliwahi kushiriki mashindano ya wapishi na kutokea mtu wa nne duniani

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
Back
Top Bottom