Mzee wa Kiraracha choka mbaya

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,948
710
Wadau,
Hebu angalieni hizi picha za Mzee wa Kiraracha alivyochoka mbaya. Duh mpaka inatia huruma.



EI.JPG


CII.JPG
 
Ama kweli hujafa hujaumbika. Huwezi amini kuwa enzi zake haka kazee kalitikisa nchi kwa staili yake ya siku saba. Siyo siri afya imeyumba kwelikweli.
 
Wadau,
Hebu angalieni hizi picha za Mzee wa Kiraracha alivyochoka mbaya. Duh mpaka inatia huruma.



EI.JPG


CII.JPG
Jamani muoneeni huruma Mzee Mrema, ni wazi ananumwa kaugonjwa fulani.
Kinachotia moyo haruhusu kukata tamaa na kujificha chumbani kama wengine.
Hii ni kuwa pro active na masiha kitu ambacho ni kizuri.
 
Pamoja na uzee kilichochangia zaidi ni homa inayomsumbua ilopo ni kumwombea kwa mungu amponye ili aendelee harakati zake za kuikombo TZ japo hapa mwoshoni kaaribu sana ila nahisi atabadilika
 
Nilitegemea ungenambaia kwa iyo picha walikuwa wanafanya nini?
Sasa mambo ya kuchoka kwa mzee its as if labda unampenda kama wewe ni she ila sasa unaona so kutoka nae ingawa ela anazo ila afya shida.
Naona suala la afya tumwachie yeye na familia yake unless kama una mchango specifically kwenye ugonjwa unaomsibu mf msaada wa fedha etc
 
pole sana mzee mrema mungu akutie nguvu. si sahihi kumzodoa mja wa mwenyenzi mungu kwa kuumwa. afya njema ni majaliwa miili hii hupita tuu na hakuna anayetaka kuwa mgonjwa. ugonjwa ukikufika basi tena kama hauna dawa. Hujafa hujaumbika, kwa kuwa wote tunapita duniani tumshukuru muumba kwa kila kitu. Mrema nakuheshimu sana na kuthamini kazi zako za kutetea wanyonge wa nshi hii.
 
Mkuu nenda chumbani jifungie umwombe radhi mungu wako kama unaendelea kupumua mpka sasa
mungu ni mungu wa wote wenye mwili je kunajambololote gumu asiloliweza???
 
Jamani muoneeni huruma Mzee Mrema, ni wazi ananumwa kaugonjwa fulani.
Kinachotia moyo haruhusu kukata tamaa na kujificha chumbani kama wengine.
Hii ni kuwa pro active na masiha kitu ambacho ni kizuri.
kaugonjwa fulani kepi ako??
acha majungu bana.
mzee ana sukari mbaya sana inamsumbua balaa!!
 
Mimi sijazungumza kuchoka kwa uzee, mie nimeweka picha ikionyesha Mzee wa Kiraracha alivyochoka. Na kachoka sana, sielewi kama ni kwa uzee au ugonjwa. Mimi ninavyoelewa Mrema ana matatizo ya Diabetes (kisukari). Nafikiri anatakiwa kutumia muda mwingi kuhudumia afya yake ingawa anapenda kutumikia wananchi.
Narudia tena, Mrema amechoka sana, anatakiwa kujali afya yake zaidi, wananchi wanatambua mchango wake.
 
Back
Top Bottom