Mzee wa Kikwere alezea tiba za asili

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Aisee hebu sikiliza mahojiano ya mzee wa Kikwere na mwandishi wa TBC radio kuhusu tiba asilia za Kikwere.........

Mzee anaeleza kwa nini vijana wa leo hawana nguvu za kiume, aelezea madhara ya mafuta ya kupikia
kwanini wasichana/wanawake wa leo wanajifungua kwa operation japo kuna hospitali
anaelezea miti na vyakula vya asili kwa afya bora
aelezea kwa nini siku hizi kuna magojwa kama kisukari, kansa, moyo kwa wingi na rika zote
ni mahojiano yenye kufundisha mambo ya jando na jinsi ya kuishi kwa vizuri wanandoa

Sikiliza mazungumzo hayo hapa

Naomba kuwsilisha wakuu
 
Back
Top Bottom