Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,978
- 103,352
Kwani we unafikiria ni nini?Au kisa aliongea mtukufu nanilii?
Inamuuma kuitwa hivyo lakini hii inashabihiana na matendo yake.
Kwani we unafikiria ni nini?Au kisa aliongea mtukufu nanilii?
NDO HATUNAE TENA WASHENZI WALISHAMPOTEZAInamuuma kuitwa hivyo lakini hii inashabihiana na matendo yake.
NDO HATUNAE TENA WASHENZI WALISHAMPOTEZA
Yuko wapi?Hilo llilishindikana na bado yupo sana.
Yuko wapi?
Hata wewe upo dunianiHapa duniani.
Huyo mzee ni wa Karagwe. Alitoa ya moyoni bila kupepesa macho. Sasa sijui watamkataa wenzake kuwa ni msaliti!Nimeupenda sana huu msimamo wa yule mzee wa Chato ambaye ni Chadema damu aliyesema Rais Magufuli kwa mazuri anayolitendea taifa hili ni lazima tumuunge mkono bila kujali itikadi za vyama vyetu
Ni matumaini yangu kuwa wanachadema wenye mapenzi mema duniani kote ikiwemo kamati kuu ya Chadema watauchukua ushauri wa kigogo huyu wa Chadema kutoka Chato - Geita.
Maendeleo hayana vyama!
Hata wewe upo duniani
Kwani Chadema siyo watanzania?!Angepungukiwa na nini angesema tu anaunga mkono juhudi kama Mtanzania?
Kwani hadi aitaje chedema?
Acha unafiki.pumbavuHahahaa.......chadema bhana!
Kama kawaida yako umeshapanic.........hahahaa!!Acha unafiki.pumbavu
Unajua maana ya kigogo?Umemuelewa lakini kigogo huyo wa Chadema kutoka Chato?!
Nimeupenda sana huu msimamo wa yule mzee wa Chato ambaye ni Chadema damu aliyesema Rais Magufuli kwa mazuri anayolitendea taifa hili ni lazima tumuunge mkono bila kujali itikadi za vyama vyetu
Ni matumaini yangu kuwa wanachadema wenye mapenzi mema duniani kote ikiwemo kamati kuu ya Chadema watauchukua ushauri wa kigogo huyu wa Chadema kutoka Chato - Geita.
Maendeleo hayana vyama!