Mzee wa Bongo Daresalamee...!

Wa mmoja

Member
Aug 4, 2009
99
0
Naomba mnisaidie kataka hili jambo...huyu mzee wa bongo Dar es Salam Mr. Dude, anaisaidia jamii au anaipotosha vile anavyogiza jinsi wezi wanavyotumia mbinu mbali mbali katika kutimiza malengo yao?!
 
Anaelimisha Msije ibiwa...na jinsi gani...unaweza kuwa makini hasa unapokuwa mini kama dar es salaam watu walivyo wengi..Kazi hakuna kila mtu mbunifu wa njia za kupata kipato.
 
naona huyu DUDE mambo yote mawili anayo, yaani anaelimisha lakini wengine wanpotoka kutokana na mafundisho yake, licha lengo lake ni kuelimisha jamii
 
Anaelimisha jamii na kwa upande mwingine anawafundisha mbinu za wizi wale waliofulia. Mwisho wa siku kila mtu ATAJIJUU>
 
Hivi hamuoni huyu mtu kama vile anawachochea wezi na kuzidi kuwapa mbinu zaidi waweze kuiba?
Naomba mnisaidie...
 
Back
Top Bottom