S singidadodoma JF-Expert Member Nov 11, 2013 4,394 1,536 Feb 29, 2016 #1 Kwa hali hii kitaeleweka tu, wanaopiga mahesabu ya 2020 bora wakapumzike
bendaki JF-Expert Member Feb 5, 2013 952 346 Feb 29, 2016 #2 Kwetu ubora hupataga kwenye bunge. Tunasubiri bunge lianze na hapo tuuone uwasilishaji wao tutapembua pumba na mchele.
Kwetu ubora hupataga kwenye bunge. Tunasubiri bunge lianze na hapo tuuone uwasilishaji wao tutapembua pumba na mchele.