Mzee uliyeambiwa na Diamond "toka hapa" pole sana. Ukiajiriwa ni kama kuolewa, siku ingine kaa mbali

habari wadau

nimemuonea huruma sana yule mfanyakazi wa airport. aliyekuwa anazuia asirekodiwe video .. akaambiwa "toka hapa" akanywea kama mwanamke kwa mumewe...

vijana tafuteni hela... heshima ya uzee imepitwa na wakati..

mtu mzima unaambiwa toka hapa na kijana mdogooo na hufanyi kitu . ni fedheha sana
Mzee Nani Tena? Aisee hii familia si rafiki kwa wazee.
NB: Wazee tafadhalini jiwekeni mbali na Hawa watu mtakuja kudhalilika peupe.
 
Duuh nakumbuka miaka kadhaa kuna mwanafunzi mmoja alikua amekwenda kunywa bia nje kwenye pub karibu na maeneo ya chuo chao, sasa akafika mzee mmoja akakaa jirani nae akamuomba amnunulie bia, kijana alitukana matusi pale mpaka waliokua pale bar ingawa walikua walevi wakaziba maskio yao.

Haikuchukua muda kijana alidisco. Akaenda kufungua duka ambalo ndio anauza mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom