ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,448
- 1,706
Je vyombo vya habari vya kenya vilivyohabarisha juu ya hili suala navyo viko ktk red zone??
Kwenda zenu mnaangaika tu na uteuzi na hampati ng'oo, endeleen tu kulamba viatu vya wakubwa ila uteuzi ng'ooo hamtopata kwa laana zenu
Kwenda zenu mnaangaika tu na uteuzi na hampati ng'oo, endeleen tu kulamba viatu vya wakubwa ila uteuzi ng'ooo hamtopata kwa laana zenu
Tundu hana namana ya kuchomoka kwenye hiyo greyzone, sasa ajiandae kisaikolojia, maana zone aliyofika sio shwari kbsa. Kweli kuujua undani wa mtu ina gharama. Aje atuombe radhi watz tutamuelewa.