Ccm kwa unafiki ni bora Sana, kuliko wengine Ila inafaa hata kutafakari ushauri mpewao unatoka wapi?PhD za unafiki.....
Ccm kwa unafiki ni bora Sana, kuliko wengine Ila inafaa hata kutafakari ushauri mpewao unatoka wapi?PhD za unafiki.....
Ila usisahau kuwa kenge mpaka atolewe ubongo ndio ajidai kusikia.hapo kaongea ukweli. hayo maccm kama yana masikio na yasikie.
Huyo nae ni TRASH tu
... matapeli tu hao! Juzi unautukana upinzani baada ya kupokelewa huko ulikopokelewa; leo unajifanya kuwaasa wale dhulumati waliokupokea kwamba upinzani ni kitu kizuri! Kama sio unafiki ni nini?
Nafikiri tujadili kauli yake ,tusimjadili yeyeTatizo sio alichokisema
Tatizo hapa ni credibility na political legitimacy ya mtoa kauli ikilinganishwa na kile alichokisema
ALIMKIMBIA MBOWE KIDOGO AMMALIZE ''SUMU HAIONJWI'' DU MBOWE GAIDI KIBOKOHuyo nae ni TRASH tu
Sema waziri mkuu aliyefahamika kwa jina la utani kuwa ni Zero.Ungesema Waziri mkuu wa zamani na siyo msitafu.
Mzee Sumaye ndiye Waziri mkuu pekee aliyehudumu kwa miaka 10!Ungesema Waziri mkuu wa zamani na siyo msitafu.
Ndio maana tunataka katiba mpya ili watu binafsi bila vyama waruhusiwe kugombea nafasi za kisiasaUnajua maana ya Mbaya zaidi..., yaani zote ni mbaya ila ile ni afadhali kuliko hii....
Hawa watu wanashindwa kuelewa upinzani (wa hoja) ni mzuri sana popote pale kwa afya na maendeleo.., ndio maana tungepata na wagombea binafsi na watu wasio na chama na wenyewe wawepo ili mwisho wa siku mawazo binafsi na yenyewe yapate platform....., sadly kwa siasa hizi za sasa bila Chama ni ngumu mtu kupenyeza...
Kutaka na kupata ni vitu viwili tofauti..., usishangae kitakachopatikana kikawa ni kibaya kuliko kilichopo..., hao hao waliomo humo ndio watapisha uozo wowote wanaotaka.... Refer Rasimu ya Warioba iliyogeuzwa na SittaNdio maana tunataka katiba mpya ili watu binafsi bila vyama waruhusiwe kugombea nafasi za kisiasa
Anataka kurudi CDM kugombea uraisHuyo nae ni TRASH tu
Kwamba si kweli!??
Kama Sumaye ni trash basi wewe ni LEFTOVERS