Mzee Sumaye: Ukiwa na Bunge la chama kimoja unaruhusu Upinzani utoke ndani ya chama, hii ni mbaya zaidi

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,716
2,000
Very well said Mkuu 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
... matapeli tu hao! Juzi unautukana upinzani baada ya kupokelewa huko ulikopokelewa; leo unajifanya kuwaasa wale dhulumati waliokupokea kwamba upinzani ni kitu kizuri! Kama sio unafiki ni nini?
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
30,862
2,000
Hatoshi Amepwaya Mno
Saa Hizi Wamwache Hangaya Aupige Nje Mpira Uwe Wa Kurushwa
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,077
2,000
Alichosema ni kweli, ila kaongea tu kwani si kweli yuko teyari kuona upinzani unaimarika hapa nchini na CCM wote huu ndio msimamo wao halisi.
 
DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
1,127
2,000
Mzee Mkapa alimaliza kuhusu huyu Mzee mimi ni nani mpaka niongeze neno.
Apumzike tu
 
Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
386
500
Hata kama mara nyingi sikubaliani naye, hapa ameongea point nzuri sana na CCM iache kubana vyama vya upinzani wao hawana haki zaidi ya wengine, nimeanza kuona upinzani utatoka ndani ya CCM wajiandae sasa, naona Gwajiboy,polepole,sukuma gang etc wakiungana na CHADEMA kuiondoa CCM, soon CCM itaanguka kama vyama vingine vilivyotawala baada ya uhuru...jiandaeni
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,597
2,000
Unajua maana ya Mbaya zaidi..., yaani zote ni mbaya ila ile ni afadhali kuliko hii....

Hawa watu wanashindwa kuelewa upinzani (wa hoja) ni mzuri sana popote pale kwa afya na maendeleo.., ndio maana tungepata na wagombea binafsi na watu wasio na chama na wenyewe wawepo ili mwisho wa siku mawazo binafsi na yenyewe yapate platform....., sadly kwa siasa hizi za sasa bila Chama ni ngumu mtu kupenyeza...
 
Ndio maana tunataka katiba mpya ili watu binafsi bila vyama waruhusiwe kugombea nafasi za kisiasa
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,597
2,000
Ndio maana tunataka katiba mpya ili watu binafsi bila vyama waruhusiwe kugombea nafasi za kisiasa
Kutaka na kupata ni vitu viwili tofauti..., usishangae kitakachopatikana kikawa ni kibaya kuliko kilichopo..., hao hao waliomo humo ndio watapisha uozo wowote wanaotaka.... Refer Rasimu ya Warioba iliyogeuzwa na Sitta
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,141
2,000
Kwamba si kweli!??

Kama Sumaye ni trash basi wewe ni LEFTOVERS

Mkuu, fuatilia kauli za Sumaye kikamilifu. Hana consistency, reliability wala integrity. Ili watu wakusikilize kwa makini katika mambo muhimu basi dhihirisha msimamo wenye mantiki katika unayosema. Na uwe mkweli muda wote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom