Mzee Sumaye na Nyalandu wahudhuria mazishi ya kiongozi wa BAWACHA

Hivi kumbe siku hizi wanawake wanaruhusiwa kubeba jeneza na hata kuweka mwili kaburini dunia inakwenda kasi sana
 
Tunachotaka kujua ni kama huyu 'Mmang'ati' alipokea mualiko wa SADC au hakupokea! His where about is of our little concern right now!
 
Maisha gani aliyoyataka? Ni Bahati mbaya sana Watanzania tunaruhusu kuua dhamiri zetu kwaajili ya mambo madogo madogo sana.Mambo yote.ya duniani ni ubatili mtupu.
Duuu maisha kweli ni pinduapinda Sumaye yule ninaemju kumbe bado yuko dar? Dunia nzima iko dar yeye kajichimbia docho ! Lakini hayo maisha kayataka mwenyewe
 
Hawezi kwenda kwa wanafiki na watu wa visasi. Wamemnyang'anya mashamba yake kwasababu za kujinga kabisa.
 
View attachment 1184095

View attachment 1184096

View attachment 1184097



Hili ni jibu la baadhi ya wanajf waliokuwa wanamuulizia Mh Sumaye , hata hivyo Sumaye hata angekuwa DSM asingethubutu kujichanganya na wanafiki
View attachment 1184095

View attachment 1184096

View attachment 1184097



Hili ni jibu la baadhi ya wanajf waliokuwa wanamuulizia Mh Sumaye , hata hivyo Sumaye hata angekuwa DSM asingethubutu kujichanganya na wanafiki
Wao pia si binadamu kama wengine au wanamikia matakoni?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom