Mzee Sendeka mbona hawezi kupima uzito wa matukio

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
742
377
Ni kauli ipi imetoka ya chama tawala kuhusu mauaji ya Tanga na Mwanza? Nauliza hili swali kwa vile naona Mzee Sendeka kakomaa na swala la majipu kana kwamba yale mauaji ni swala dogo kichama.

Nilitegemea kabla ya kudili na hili la wapinzani, chama kingeiadabisha Serikali kwa kwa kushindwa kutoa taarifa kwa umma namna inavyoshughulikia watu hawa wanaoonekana kujipanga vizuri. Kati ya mauaji ya Tanga na hili la wapinzani analohangaika nalo Sendeka,

Ni lipi limetangulia?
 
Hayo majanga yalipikwa na ccm kwenye uchaguzi baada ya kushindwa hoja.sendekani kivuli tu.

Swissme
 
Wewe unategemea sendeka Aseme wakati hajui atasema nini hadi aandaliwe cha kuongea, na mtihani wa form six alijua atafanyiwa ndio maana alizungusha
 
Kwa viongozi wa ccm na serikali wanaona wapinzani ndio hatari zaid kuliko hao wauaji na majambazi
 
Ni kauli ipi imetoka ya chama tawala kuhusu mauaji ya Tanga na Mwanza? Nauliza hili swali kwa vile naona Mzee Sendeka kakomaa na swala la majipu kana kwamba yale mauaji ni swala dogo kichama.

Nilitegemea kabla ya kudili na hili la wapinzani, chama kingeiadabisha Serikali kwa kwa kushindwa kutoa taarifa kwa umma namna inavyoshughulikia watu hawa wanaoonekana kujipanga vizuri. Kati ya mauaji ya Tanga na hili la wapinzani analohangaika nalo Sendeka,

Ni lipi limetangulia?

Yeye ni msemaji wa chama. Na sio selikali
Chama kipo kwa kushaurí selikali lakin bado hakipaswi kuingilia utendaji wa selikali
Kikatiba yivyo
 
Back
Top Bottom