Mzee Rugemalira katoka gerezani breki ya kwanza Kanisani na Askofu Shoo amtembelea Mbowe gerezani, huu ndio Ukristo!

Zjilala

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
291
250
Niwapongeze wanaparokia ya Makongo kwa kumpokea tena mzee wetu Rugemalira ambaye alikamatwa mara baada ya maandamano ya Ekaristi takatifu miaka 4 iliyopita.

Nimpongeze pia askofu Dr Shoo kwa kufunga safari hadi Ukonga Dar es salaam kumtia moyo muumini wa dhehebu lake mh Mbowe.

Huu ndio Ukristo, Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Mungu ni mwema wakati wote!
Suala sio kutoka je hela bado anazo au zishatumika kunengea flyover?
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,754
2,000
"China Mafisadi wanadhibiwa, huku Mafisadi wamekuwa kama Inspiration....."

Maneno ya mlevi mmoja alisikika akisema, baada ya hapo akamalizia "Mtanikumbuka...............".

Hapo ndipo nami nikagundua tuna safari ndefu sana kukijenga kizazi chenye uchungu, uzalendo na uaminifu kwa taifa hili kwa manufaa ya kizazi kijacho, yaani unashangaa mpaka wale waliomponda kwa miaka mitano mfululizo kwenye majukwaa na kwenye magazeti yao ya kwamba mwizi, leo wanadai alionewa. Kweli yule mlevi alikuwa sawa "MTANIKUMBUKA "
Porojo hizi za nini
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,314
2,000
Hakika John Joseph pombe magufuli alikuwa kiongozi muovu na hii itaitesa Sana serikali na ccm.
Kwahiyo pesa walizofuja Ruge na Singasinga kwa kushirikiana na viongozi kiasi serikali inakosa pesa za kununua hata viwanda vya wajawazito, lilikuwa ni jambo jema, sivyo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom