Mzee Rugemalira katoka gerezani breki ya kwanza Kanisani na Askofu Shoo amtembelea Mbowe gerezani, huu ndio Ukristo!

Niwapongeze wanaparokia ya Makongo kwa kumpokea tena mzee wetu Rugemalira ambaye alikamatwa mara baada ya maandamano ya Ekaristi takatifu miaka 4 iliyopita...
Suala sio kutoka je hela bado anazo au zishatumika kunengea flyover?
 
"China Mafisadi wanadhibiwa, huku Mafisadi wamekuwa kama Inspiration....."

Maneno ya mlevi mmoja alisikika akisema, baada ya hapo akamalizia "Mtanikumbuka...............".

Hapo ndipo nami nikagundua tuna safari ndefu sana kukijenga kizazi chenye uchungu, uzalendo na uaminifu kwa taifa hili kwa manufaa ya kizazi kijacho, yaani unashangaa mpaka wale waliomponda kwa miaka mitano mfululizo kwenye majukwaa na kwenye magazeti yao ya kwamba mwizi, leo wanadai alionewa. Kweli yule mlevi alikuwa sawa "MTANIKUMBUKA "
Porojo hizi za nini
 
Hakika John Joseph pombe magufuli alikuwa kiongozi muovu na hii itaitesa Sana serikali na ccm.
Kwahiyo pesa walizofuja Ruge na Singasinga kwa kushirikiana na viongozi kiasi serikali inakosa pesa za kununua hata viwanda vya wajawazito, lilikuwa ni jambo jema, sivyo?
 
Naulizia tu kwa wale wafuatiliaji wa kesi za ufisadi na mambo ya Plea bargain

Je, mzee Rugemalira alitolewa jela kwa Plea bargain?

Nakumbuka yule singa akitoka kwa hii sheria

Ni hilo tu
 
Back
Top Bottom