Mzee na kibinti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee na kibinti

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Che Kalizozele, Oct 7, 2008.

 1. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Babu wa miaka sabini na tano aliamua kuoa binti wa miaka kumi na tano,usiku baada ya ndoa kupita wote wakawa wanalia chumbani,binti analia hajui kitu na babu analia keshasahau kila kitu.Unaona kazi hiyo,wewe ungefanya nini?
   
 2. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  .....Na mimi ningelia baba watatu.Teh! teh!! tehhhhh!!!
   
 3. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Pangegeuka kama msiba nami ningeanza kulia kwasababu nimekuta wote wawili wakilia
   
 4. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo si kulia,tatizo ni pale utakapouliza kuna tatizo gani,ndo umeambiwa unawasaidiaje.Naamini usemaovyo wako hapa unaweza kusaidia.Sijui Dadaangu naima yuko wapi,sijui hapa angesema nini.
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa ni mimi nimekuta hali hiyo basi ningemsaidia babu kwa kumfundisha binti wakati huo huo babu angekuwa anavuta kumbukumbu kwa kutazama tunavyofanya.

  Hope baada ya muda furaha ingerejea tena.
   
 6. M

  Mundu JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2008
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ndugu hujatulia ha ha ha
   
 7. Nelson Charles

  Nelson Charles Member

  #7
  Oct 16, 2008
  Joined: Oct 16, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha! ha! ha! wangu nimemkubali ndugu unatisha
   
 8. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  Mbona rahisi mdogo wangu .. unaleta vitu vifuatavyo .. tena vinapatikana hapo hapo nyumbani .. kwanza kijiko na kikombe, kinu na mtwangio, mswaki kama upo, sefuria na mwiko ... eeh mbona vingi .. uzi na sindano na kipande cha nguo... naona mpaka hapo unafanya practicals bila kuvunja heshima .... na wote wataelewa kwani vyote vinaendana na kufanyakazi kwa pamoja ... si unajua tena kakaake kijiko lazima kikoroge chai kwenye kikombe .. mswaki lazima uingie sijui wapi .. mengine malizia wewe ...
   
 9. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Dada Naima ni ushauri mzuri umetoa hapo juu, lakini hawa watoto wa sasa na uvujaji wa mitihani niwagumu kidogo kuelewa, wanapenda kufanuniwa kisha wameze.
  Sasa dada yao itabidi uwatafunie...sasa sijui utatafuna na huyo babu kizee au na shemeji yetu.?
  Hapa kuna kazi kidogo.
   
 10. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hao watoto watasubiri mpaka wawe wakubwa halafu watafundwa tu ..

  na kwa babu na binti ... ukishakusanya vitu vyote hivyo .. na maelezo kidogo tu ... babu nae atakumbuka automatically kwani si mageni kwake eti .. unless ni ndondocha .. then you wont have to do anything physically.

  sijafundwa na vijana wa kitchen party mwenzangu .. nilifundwa na watu wazima wenye fahamu zao ama vipi

  hapa vijana wa kitchen party wanasasambua tu bila wasi hata bila pazia
   
 11. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ukiamua kutoa msaada basi ni vyema ukasaidia kiukweli ukweli na sio kumpa tena mtihani mwingine wa miswaki, vijiko na vinu...Mi nitamsaidia kumfungilia babu kamlango ka binti then ataendelea. Kama somo litakuwa halijaeleweka naweza nikarudia mpaka babu aelewe i belive kabinti katatoa ushirikiano....Kipya kinyemi.....
   
 12. Nelson Charles

  Nelson Charles Member

  #12
  Oct 28, 2008
  Joined: Oct 16, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hoya mkubwa vp mbona kimya sana tupe mambo.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Pedophilia..
   
 14. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,186
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Hawakupitia kitchen au burger party before?!
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...bora kuendeleza kilio tu hapo :( hamna jinsi...
   
 16. S

  Stone Town Senior Member

  #16
  Oct 28, 2008
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashangaa niliposikia mtoto mdogo analia eti hajui kitu ndnai mbaona mimi siamini kwa watoto wa sasa naona wamechangamka zaidi ya watu wazima na ndio maana tunashuhudia wasichana wa darasa la pili au tatu wakiwa wamebeba mimba yaani utajiuliza wamejifunza wapi mambo haya au unaweza kujiuliza wameanza haya mambo lini na wakiw ana umri gani au wamebaleghe huku wakiwa tayari wameshaanza mambo?
   
Loading...