Mzee Mwinyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mwinyi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kakuruvi, Oct 31, 2010.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nilifuatilia hotuba ya Mzee Mwinyi jana, ana busara sana! japo watu walikuwa wanamshangilia lakini nafikiri wengi hawakumuelewa, aidha walitekwa na kadamnasi au ni mtindo tu. ukipata fursa msikilize tena aliyoongea ni upanga unaokata kuwili. kama kuna mwana jamvi mwenye ile hotuba ilete humu tuitafakari zaidi.
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Imwage hapa mkuu au tuambie alisema nini hasu mzee wetu...
   
 3. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ''Avumae baharini Papa lakini wenye nguvu wengine wapo..............'' na mengine mengi.
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu hebu kwanza watu wamalizane na hii kazi ngumu ya kupokea matokeo. Tutafanya post-mortem baadaye.

  Ni mawazo yangu.

  DC
   
 5. C

  Challenger M Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Imwage basi, lakini sio Mwinyi tu hata Mkapa aliharibu ilionekana kama alikuwa anajikosha kuwa hana ubaya na JK akisema wambea wakome hii ina maana umbea ni ukweli usioruhusiwa kusema hadharani kwa hiyo kumbe kweli
   
Loading...