THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,042
- 4,645
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Alhaj Dr. Ally Hassan Mwinyi maarufu kama Mzee Ruksa anatarajiwa kuzindua kitabu cha Maisha na Nyakati zake mwezi huu Jijini Dar es Salaam.
Katika siku ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa tarehe 08/05/2021.
Mzee Ruksa ana mengi sana ya kutueleza kwa kuwa yeye ndio baba wa Demokrasia na Mwanamageuzi mkuu wa mfumo wa uchumi wa nchi yetu.
Tusubiri kwa hamu kukisoma kitabu hiki kwa kuwa kuna mengi ya kujifunza ndani yake.