Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

Huyu mzee kwa umri wake inaonekana ameshaaza kupoteza kumbukumbu, ushahidi wa hili ni kule Chato siku ya kumuaga magufuli pale alipotaka kurudia kuaga mwili mara mbili na akakili kwamba alisahau.

SWALI: Wakati Kitabu Hiki Kinaandaliwa Ilitumika Njia Gani huyu mzee kuweza kukumbuka matukio yaliyotokea zaidi ya miaka 15 nyuma ikiwa tu hata watoto wake ameshaaza kuwasahau?

Nb: nimeuliza ili nipate kujua sina maana zaidi ya hiyo.
Umeuliza swali zuri sana. Siyo wewe una wasiwasi huo tu, ni wengi... hata mimi. Labda iwe alikuwa ameshaandika siku za nyuma, sasa hivi ni vigumu kukumbuka tukio kama hilo.
 
Umeuliza swali zuri sana. Siyo wewe una wasiwasi huo tu, ni wengi... hata mimi. Labda iwe alikuwa ameshaandika siku za nyuma, sasa hivi ni vigumu kukumbuka tukio kama hilo.
Kuna baadhi ya wachangiaji wanadai wazee huwa hawasahau matukio ya nyuma hatakama imepita miaka 30
 
Kuna baadhi ya wachangiaji wanadai wazee huwa hawasahau matukio ya nyuma hatakama imepita miaka 30
Kupoteza kumbukumbu hakuchagui hivyo. Nina mashaka hiki kitabu kiliandikwa baada ya kuona Mkapa ameandika, kitu kinachofanya mengi ya yaliyoandikwa huku kuwa yalitokana na simulizi alizokuwa anawasilimulia watu wake wa karibu.
 
"Maza ako" ndio nini hicho !!! hapo umeniacha mkuu

Watu wa Mahenge sijui kwa nini mnapenda kutumia kilugha chenu kuchangia kwenye forum za majadiliano ya kitaifa

Wenyewe mkisha toka kwenu huko Sigimbi Mashariki mkija mjini basi inakuwaga tabu kweli kweli

Tumia kiswahili cha kawaida au kingereza tukuelewe Brother hizo lugha zingine humu tunakuona boya tu yaani tunakuona kama MKARAMBA unajifunza kuongea

Lugha hizo kawaongelee huko ukirudi kwenu Mahenge ndio watakuona mjanja umetoka mjini na kwamba unajua kuongea kimjini kimjini humu tunakuona NGAGAE mmoja tu usiejielewa
 
hazina gani iliyomo humo na huyo mtoto wako atafaidika na lipi kubwa la kumsaidia kwenye maisha yake ,kuna cha Nkapa bado cha vasco ,iwe sasa kazi kusoma vitabu vya maraisi wastaafu ,kwa kubwa lipi ? walilolifanya hata leo ikawa ya pili vitabu vyao vina maana saana ,bora hata kitabu cha Mbutolwe mwana wa Umma.
Hazina iliokuwemo kwenye kitabu chake kubwa ni kuthibitisha kuwa Alikuwa rais wa Zanzibari ilhali hakuwa Mzanzibari :D
 
"Maza ako" ndio nini hicho !!! hapo umeniacha mkuu

Watu wa Mahenge sijui kwa nini mnapenda kutumia kilugha chenu kuchangia kwenye forum za majadiliano ya kitaifa

Wenyewe mkisha toka kwenu huko Sigimbi Mashariki mkija mjini basi inakuwaga tabu kweli kweli

Tumia kiswahili cha kawaida au kingereza tukuelewe Brother hizo lugha zingine humu tunakuona boya tu yaani tunakuona kama MKARAMBA unajifunza kuongea

Lugha hizo kawaongelee huko ukirudi kwenu Mahenge ndio watakuona mjanja umetoka mjini na kwamba unajua kuongea kimjini kimjini humu tunakuona NGAGAE mmoja tu usiejielewa
Acha matusi wewe Bashite
 
Huyu mzee naye ni muongo sana.
Pengine alikata hiyo hiyo ya Darlington na na akashukia Newcastle kwa kuibia. Tushafanya sana mchezo huo utotoni kwetu. Kwa siku hizi inakuww ngumu, Wazungu washatushtukizia watu weusi.
 
Ila ngozi nyeupe huwa zatuzingua ngozi nyeusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzinguzi upi wa Kumuongezea pesa wakati hana nauli au wa kumsaidia na kumpeleka alipopotea wakati hata alikuwa haendi huko?

Ubaguzi sio rangi ni tabia ya mtu....

Tunachukiana kwa sababu tunaogopana
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana
Hatujuani kwa sababu tunatengana
Dunia ni nzuri walimwengu hawana maana​
 
Back
Top Bottom