Mzee Mwinyi ametoa kitabu' ':- Mzee Ruksa: Safari ya Maisha Yangu

Ukizeeka sana halafu kumbukumbu zikipotea ndio salama kubwa kwako maana ukiwa na kumbukumbu kali unakaribisha mawazo sana , sometime unakumbuka enzi zako za nguvu unajiona Mkiwa au upweke unakuletea stress kubwa
Sahiv hana kumbukumbu? Sure?
Hivi ukizeeka Sana kumbukumbu huwa Zinapotea?
 
Nyerere kafa at 76, Magu at 64 bila ya kuandika kitabu

Maisha yako yana muda maalum, uandike au usiandike

Basi na Wazinzi wasiende Guest maana kuna watu wanafia Guest wakiwa juu ya Uchi
Tz hii ukitoa tu kitabu,ni kama umejiandalia safari refer Mkapa na Mengi
 
Mbona Jiwe amerest ini pisi ilhali hajaandika kitabu chochote! Mungu akikutaka anakuchukua wakati wowote!
Alidanganywa ataishi milele thus alijijengea himaya lkn Mungu usikia maombi ya wengi yanayojirudia rudia.
 
Baada ya kusikiliza muhtasari uliosomwa na prof.Mkandala kwakweli kitabu cha Babu yetu mzee Ruksa kimejaa Uvumiluvu, Hekima , ujasiri na busara za kiwango cha juu.

Binafsi nimejifunza kuwa Fitina na majungu ktk uongozi havijaanza leo vilikuwepo tangu awali, lkn Kamwe usikate tamaaa.

kukata tamaa ktk uongozi au mapambano yoyote ni dhambi kubwa.

kamwe usikubali kuvunjwa au kukatishwa tamaa na binaadamu wenzako wenye wivu na chuki.

Hongera sana mzee ruksa.
 
Najaribu kufikiria sababu za kitabu hiki kuuzwa "ghali" hivyo. Ni kwa interest ya Mzee Ruksa au kuna watu wanamtumia?
 
Ni yeye kakiandika? I mean amehusika na content ya kitabu? Mwinyi amezeeka sana na hana kumbukumbu. Au alikiandika siku za nyuma alipokuwa vizuri?
Amekiandika yeye mwenyewe kwa nafasi yake alokuwa nayo pamoja na majukumu mengine.

Ndo maana kimechukua muda kukimaliza.

Usimdharau mzee wetu kiasi hicho kumbuka Mzee mwinyi alikuwa mwalimu mzuri wa kiswahili hivyo, tegemea kiswahili sanifu katika kitabu chake.

Hivi vitabu vya hawa watu ni hazina kwa taifa.

Tunangojea kitabu cha JK nafikiri bado chafanyiwa udarizi.
 
Amekiandika yeye mwenyewe kwa nafasi yake alokuwa nayo pamoja na majukumu mengine.

Ndo maana kimechukua muda kukimaliza.

Usimdharau mzee wetu kiasi hicho kumbuka Mzee mwinyi alikuwa mwalimu mzuri wa kiswahili hivyo, tegemea kiswahili sanifu katika kitabu chake.

Hivi vitabu vya hawa watu ni hazina kwa taifa.

Tunangojea kitabu cha JK nafikiri bado chafanyiwa udarizi.
Sijamdharau! Nimesema kumbukumbu zimepungua sana kwa sasa. Hili linaweza kupunguza mambo muhimu kama amekiandika siku za karibuni. Sijadharau elimu wala kiswahili chake. BTW kuandika memoir siyo lazima uwe msomi au mzuri kwenye lugha.
 
Kutokana na yaliyo andikwa kwenye Kitabu chake Mzee Mwinhi, inaomekana katika Marais walio pata taabu sana ktk uongozi kuanzia alipo teuliwa kuwa waziri basi ni Huyu Mzee wetu Mwinyi.

Pamoja na kuwa mwadilifu na mtiifu lkn bado alichukiwa sana na alifanyiwa fitina za hali ya juu mpaka akajiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani lkn badae alirudishwa tena ulingoni lkn bado alipigwa fitina na kubabaishwa kuwa eti ni mdini anapendelea waislamu n.k, ama hakika walimyumbisha sana lkn kutokana na uadilifu wake na ucha Mungu alibakia kuwa Imara na Hatimaye Mungu alimsaidia.

Hakika kuna mafunzo mengi sana ya kujifunza ktk kipindi cha utawala wake.

tujirekebishe kwa wale wote wenye chuki binafsi na uchu wa vyeo, tuache tabia za kuiguruga nchi yetu, tuwe wazalendo wa kweli.

tuache kutafuta vyeo kwa uchawi au kwa kuhadaa/unafiki kwani cheo/uongozi hutoka kwa Mungu.

Tusibaguane wala kuchukiana au kufanyiana fitina kisa ni mkristo au mwislamu, sisi sote walio na dini na wasio na dini tunaunganishwa na MAMA Tanzania.

tusibaguane kwa makabila au ukanda kwani sisi sote ni watanzania, hivyo yatupasa kudumisha Amani, Upendo na Utulivu kwa masilahi ya nchi yetu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom