Mzee Mwinyi amlaumu January Makamba kwa kutumia picha yake wakati huu

BigBro

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
3,195
9,808
Mzee Mwinyi amesema hajafurahishwa na picha aliyotumia January Makamba baada ya kutumbuliwa ikiwaonyesha wanafurahi pamoja.

Amesema hamlaumu mtu ila kwanini atumie picha ile wakati wa maji yamevurugika.

Picha zile ni za kawaida, watu wengi wanakuja hapa kuniona, tunafanya mazungumzo na kuchukua picha za kumbukumbu. Hii picha ni ya zamani, January alikuja hapa akaniomba nimsaidie kuandika Dibaji ya kitabu chake.

Inaonesha kuna tatizo sehemu.

 
  • Mzee Mwinyi ni mwenyekiti wa baraza la Wazee wa CCM, Kitendo cha Janaury kuweka picha ile katika post yake ya kwanza kuelezea kutolewa kwenye nafasi yake ni kujaribu kuimply kwamba Mwenyekiti huyo wa baraza la wazee yuko naye
  • Kiukweli January alichemsha
  • Mzee Mwinyi ni raisi mstaafu kutumia picha yake kupokea maamuzi ya raisi aliyeko madarakani tena wa chama kilekile ni kujaribu "kumteta" au "kumsimanga" raisi wa sasa kwa raisi wa zamani
 
Back
Top Bottom