Mzee mwenzangu mpweke njoo tumalizie maisha pamoja

Status
Not open for further replies.
Hello dear friends!

Nipo hapa kwenye hili jukwaa for the first time looking for a life partner wakumaliziana muda wetu wa maisha ulobaki hapa duniani. Ok sifa zangu ni hizi hapa. Am a woman of 33 yrs 5.6ft long, Christian, business woman, mweusi ila sio giza kabisa, 79kgs (weight) a single mother to one child, never married before. I have been single for a year now naona uvumilivu unaanza kunishinda hivyo nahitaji mtu special wakutulizana nae.

Any man from 40-45yrs namkaribisha anaehitaji rafiki badae mwenza wa maisha aje tujuane halafu mengine yatafuata kutokana na Mungu atakavyopenda iwe.

Pls I need only serious people jokes aside.
Kwa nini usimtafute huyo uliyezaa naye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom