Mzee mwenye miaka 80 na dokta


Kamaka

Kamaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
565
Likes
0
Points
33
Kamaka

Kamaka

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
565 0 33

Mzee mmoja alienda hospitali kwa ajili kuangalia afya;dokta akamuuliza inakuwaje yeye awepo katika afya nzuri kama ile ilhali yeye ni mzee sana.

Mzee akamjibu kuwa anazingatia kanuni zote za afya,akasema huwa usiku akienda msalani mungu huwa anamuwashia taa,...........

Daktari akastaajabu sana,

Muda si mrefu mke wa mzee yule akaingia kuja kumchukua mume wake,
dokta akamuuliza kama kweli mungu huwa anamuwashia taa mume wake msalani au mzee akili zake hazipo sawa .

Mke akamjibu dokta :ndio maana huwa najiuliza kila siku nani HUWA ANAKOJOA KWENYE FRIJI?????????
 

Forum statistics

Threads 1,237,928
Members 475,774
Posts 29,306,850