Mzee-Mwanakijiji,....... Yupo sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee-Mwanakijiji,....... Yupo sawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gigo, Oct 3, 2007.

 1. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2007
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mwanakijiji Yupo sawa, japo sina uhakika..Kwasababu -bado sina muda mwingi wa kusoma Post zake zote kwa uzuri..Ila nina amini akili yangu ! katika kutoa maamuzi ya nini niseme au nini nisiseme labda mpaka baadae..

  Hapa nina mzungumzia Mwanachama mwenzetu wa JF -Mzee-Mwanakijiji
  Nina kubaliana nae wakati mwingine na nina mchokoza- kwa Kumfanyia fujo...Laini bila yeye nisinge pata muda mzuri wa kufikiria Hili neno lake jipya-ana sema-'Ideological-battle' ??sorry !! Ideology-battle!!Kitu kama hicho..

  Sasa hii battle ni kati ya wana JF au? Battle ya nani na nani?
  hebu Nifananulieni vizuri!!
   
 2. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135


  Je wewe uko sawa? Kwani battle hujui maana yake? Tafuta kamusi.
   
 3. Bi. Senti 50

  Bi. Senti 50 JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2007
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 291
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mwenzetu una matatizo tena si kidogo. Sijui ni wapi pagumu kuelewa. Kama ni lugha waulize wataalam. Kama Mwanakjj angetaka kusema JF Battle au member battle si angesema? HIvi unadhani ulipomtukania babake hatukukuona? Sasa unataka kutafuta umaarufu kwa jina lake kama wenzio waliofanya hapa kabla yako. Ushindwe na uregee kabisa. Tafuta njia nyingine. Nyepesi ni kujibu hoja kwa hoja. mmmmhhhh... kwi kwi kwi

  asante.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Whether ni ideological battle, au battle of ideologies, au clash of ideologies, cha muhimu ni kwamba kuna kitu kinafukuta hapa Tanzania. Inawezekana kuwa si sahihi kusema ni battle of ideologies. Kwa sababu kimsingi watanzania walio wengi wana ideology moja au zinazofanana (kama ukizungumzia kisiasa). Lakini humo ndani kuna watu wanaojiona kuwa wao wanastahili kunufaika zaidi na kuwaona wengine kama ni wajinga, na wengine wanaona kuwa si sahihi kupuuzwa na wanahitaji kuheshimiwa na wanataka kunufaika na raslimali zilizopo nyumbani. Hapa kweli ni kama unaona kuna kitu kama Clash of ideologies au clash of thoughts whatever you wanna call it. Nadhani wataalam wa lugha wanaweza kutafuta phrase appropriate.
   
 5. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2007
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  gigo si umuulize yeye kwenye pm? wewe kuna kitu unatafuta, unakumbuka ulivyotaka kuvuruga mada fulani kuhusu zitto ukaanza ah zitto ameoa?? watu wakasimama kidete, itapendeza ukipeleka kwenye udaku au luhga tudiscuss maana ya ideological battle.
   
 6. B

  BroJay4 JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2007
  Joined: Aug 27, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Gigo,
  Naona ungewasiliana na Mwanakijiji kwenye PM yake,haina haja ya kuleta thread hapa.
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2007
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,662
  Likes Received: 21,881
  Trophy Points: 280
  Hata hilo umeshindwa kulielewa? Basi yapo mashaka juu ya uelewa wako. Au tuseme Gigo = Tambwe + Akwilombe + Msabaha + ??
   
 8. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2007
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Bila hata ya kukimbilia kwa wataalamu wa Lugha-Bado utaona wafuasi wengi wa mwana kijiji Bado hawaja komaa..Mnacho laumu ni nini?

  Kuuliza Zitto ana mke au mchumba in wakera nini? Kiongozi wasasa Hana budi kufahamika vizuri.. anakula nini, ana vaa nini, mchumba wake ni nani? ili itusaidie kujua vizuri hatima yetu...

  Tena Nime ona Hata mzee mwana kijiji ana mzarau Mchumba wa ZITTO..
  Kwani kuoa ni kufanya ngono tu?
   
 9. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2007
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Huuu ni mlima kaka- sijui wewe ni dada !!
  sasa nincho kwambia ni kwamba Huu ni mlima ina onekana gia unayo itumia haifai kwa sasa...badilisha...

  Unajisikiaje mimi nikiwa juu wewe ukibaki chini kwenye viatu vyangu?
   
 10. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2007
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gigo,
  Hapa JF huwa tunatumia hoja kujibu hoja.Hatuendi na ushabiki!na hatujali ninani amesema au ni mtu gani ametajwa!.Kwa hiyo basi hatutazungumza tu ati kwa kuwa ni mtu fulani amesema au ni jina fulani limetajwa.Jenga hoja ili ujibu hoja period.Uhuru huo unao na tunapenda watu waweke hoja mbalimbali ili tuweze kurekebishana na kuelimishana.Na kama kuna washabiki wa mtu fulani basi waweke wazi na maneno yao ili tuanze kuwachambua mmoja baada ya mwingine kwa kujibu kwa hoja zao.
  Wembe.
   
 11. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2007
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  jamani jamani jamani-!!Mbona Mna Ruka Ruka!!-Mara Hoja Hujibiwa kwa hoja!!
  Kwa hiyo Hoja Mnazo nyie?! sisi Hatuna Hoja!!

  Msilete Upumbavu!!
  Ina takiwa na sisituwe na Afya nzuri!! Akili- Wajanja kupita maelezo!!Lakini Ni wapole na wenye Kupenda Amani!!

  Hofu yetu Nini? hata kama Mkataba Ulisainiwa Nje ya nchi!!???
  Nafikiri Ni vizuri kama Niki uliza- Mbona hata wao walisha wahi ku saini mikataba yao wakiwa kwetu,,Japo uki ni uliza hebu lete Mfano nitashindwa!! lakini Nina uhakika yupo mwana JF atakae nisaidia!!

  Tapeli ni Tapeli tu!! hata Mkataba Unge-Sainiwa Mwezini..
  bado Utatapeliwa tu!!

  LAKINI
  Anae-Iba!!-Tunao Iba!!! Furaha yetu!!, furaha yao!! iko wapi?

  Nani ana tudanganya? au tuna jidanganya wenyewe!!

  Yupi tumuogope...??

  this is brought to you by WAKINA NANI?
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  CHADEMA wamemkosesha cha kusema lol
   
 13. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2015
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Act.........
   
 14. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2015
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,428
  Likes Received: 12,589
  Trophy Points: 280
  Umeifukua!
   
Loading...