MZEE Mustafa Jaffer Sabodo achangia tena M4C (CHADEMA) na ahadi zingine za miradi

Bado sijaona tatizo kwa CHADEMA kupokea "grant" kutoka kwa Sabodo. Kungekuwa na tatizo endapo Sabodo angekuwa na kashfa za ufisadi zinazojulikana na kuthibitishwa. Hakuna tofauti kati ya CHADEMA kupokea pesa ya mwanachama safi wa CCM na kupokea "kura" ya mwanachama wa CCM, wakati wa uchaguzi, ambaye amechoshwa na performance ya CCM. Hatahivyo nakubaliana na wewe Mkuu kwamba CHADEMA haina budi kuwa makini ... there is often a thin line between moral issues like this one.
 
Mkuu M4C ni twanga kotekote.Tatizo nyie CCM roho inawauma sana sana.Ndiyo maana mlimtuma Sophia Simba ili amshauri asiisaidie tena CDM.Mnajidanganya sana.Mbona nyie mnasaidiwa na watuhumiwa wa EPA?
 
Something is very wrong; there is something I don't LIKE about it. Can't point it out yet but it is there...

Mkuu humpendi komu.....?? He failed EAC MP interview pale Bungeni Dom.... nilimsikiliza he is not a politician... not competent @ all
 
Mimi nimekuwa nikisikia Sabodo anachangia n kusema atachimba visima lakini sioni am kusikia siku moja CDM wakisema leo tunazindua visima vilivyochimbwa kwa pesa za Sabodo. Hivi mchakato wa kuchimba visima unachukua miaka mingapi?
 
Mkuu unapenda nao viongozi wa CDM wapende misifa ya kwenye television Kama wakina magufuli na mwakyembe ? Kuzindua kila kitu imepitwa na wakati mkuu
 
Tatizo lako wewe ni Mpayukaji na si Mtafiti. Ngoja nikuignore tu

Mbona unamkosea heshima mwenzako? Kwanini kumtolea maneno ya dharau bila ya kuutafakari ukweli wa lile alilosema? Ni wapi Mpayukaji kajisema kuwa yeye mtafiti?

Ni kweli, jina lake ni Mpayukaji lakini hoja zake ni za mtu anayepayukapayuka?

Jamìiforums hoja hujibiwa kwa hoja. Iwe ni katika kuipinga ama kuiunga mkono. Mimi nakuomba njoo mpinge kwa hoja, vinginevyo toka leo nitakuhesabu una mawazo ya kitoto japo unaishi katika mwili wa mtu mzima.
 
Mara ya mwisho CCM walimtuma Sophia Simba kwenda kumwangukia Mzee Sabodo, safari hii sijui watamtuma nani? Labda yule msoma nukta - Nchemba!

Sofia Simba ni mwanamke mwenye kuamini katika ngono nadhan ndio maana aligonga mwamba maana hana jipya zaidi ya kumwambia mke wa Sabodo am'banie unyumba.
Nchemba ataharibu, maana mke wa jamaa inabidi asafirishwe kwa muda! Otherwise ndoa ipo mashakani!
Kifupi tu ni kwamba, ccm hakuna tena watu.
 
Mkuu unapenda nao viongozi wa CDM wapende misifa ya kwenye television Kama wakina magufuli na mwakyembe ? Kuzindua kila kitu imepitwa na wakati mkuu

Mkuu Precise pangolin kuzindua miradi ni sehemu ya siasa. Nilitegemea CDM wakienda kwenye M4C wazindue visima basi na kuwapatia wananchi maji. Tuache uzinduzi; una taarifa yoyote hivyo visima vilivyoahidiwa na Mzee Sabodo mwaka jana viko wapi? Mchakato wa kujenga chuo cha CDM cha kuwanoa vijana kiko wapi najua nacho kiliahidiwa na Sabodo.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu tuwape muda kidogo
 
Mnyamahodzo nakuunga mkono huyu mpungati au Saba kwa kisukuma anaonekana kutosoma mambo na akiyasoma huenda hachambui. Mtoa hoja ameonyesha shaka yake juu ya uhusiano wa CDM na Sabodo. Mie naona amejenga hoja zenye kufikirisha. Tatizo la wabongo wakipenda kitu huwa kama mataaahira kiasi cha kutotafakari. Hebu taja kosa lau moja la mtoa hoja. Acheni uvivu wa kufikiri mpunganti.
 
Viongozi wetu kuweni makini na hizi pesa isije ikawa ni mtego wa ccm kuwatengenezea kashfa ya ufisadi. Busara yangu inanielekeza kwamba mjaribu kuwa wawazi (transparency) katika matumizi ya pesa za huyu mzee. Yani kila shilingi mjaribu kuiweka wazi ilikokwenda isije ikafika 2015 ikaibuka kashfa ya ufisadi dhidi ya pesa hii na kuivuruga safari yetu hii salama ya kumuondoa mkoloni mweusi CCM. Tafadhalini sana viongozi CDM
 
Hukumbuki jibu la Nape kwa wanaojiondoa CCM ndilo linalomhusu Sabodo
Nape njaa itamuua!Anajifanya eti mpambanaji wa ufisadi mbona hazungumzii waliorundika mibilioni huko ugaibuni?Nape na wenzio wasiowaza na kustuka kwamba tanzania kumekucha hivyo wasiendelee kuwanga siku zenu zimekaribia!Tutawapasua kama nzi kwenye kidonda na magamba wenzio kina manyanya,Chimps wasira,Kihiyo Chemba chrocodile Pinda, Mamvi EL, na Dhaifu!Sabodo peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom