Ukweli mchunguAlikuwa ana maneno machafu sana huyu dingi,
Mkuu wasifu wa Alhaji Ndolanga siko nao, fuatilia hizi linki ujifungue macho.
Huyu Ndolanga huyu; kwa uelewa wangu wa enzi hizo nilikuwa nafahamu FAT ilikuwa taasisi au mali yake binafsi. Alikuwa mbabe sana. RIP.
Watoto wa mjini hao na wote walikuwa mawakili walikuwa wanajuanaBinadamu tukiwa duniani tunapita mapito mbalimbali katika harakati za maisha na wakati mwingine mnajikuta katika migongano ya hapa na pale,nilipoiona hii habari ghafla nimejikuta nakumbuka kifo cha mzee mwenzake Said El maamry ambaye naye amefariki wiki chache tu zilizopita,
Nakumbuka wawili hawa kipindi fulani Ndolanga akiwa bado mwenyekiti wa FAT waliwahi kurushiana maneno ya hapa na pale kupitia vyombo vya habari hadi kufikia Ndolanga kumtaka El maamry amuombe radhi vinginevyo angemshtaki lakini nafikiri baadaye waliyamaliza kiutu uzima kwani sikumbuki vyema walivyomalizana.
Leo hii wazee hawa wote wameiacha dunia tena kwa kufuatana maana wamepishana wiki chache tu, basi nawaombea kwa mwenyezi Mungu viumbe wake hao na awasamehe madhambi yao na awape mapumziko mema,Amiina.
KwavipiChuma kilimnyoosha Sana Maulidi Kitenge
Asante sanaMkuu wasifu wa Alhaji Ndolanga siko nao, fuatilia hizi linki ujifungue macho.
1. Journalist assaulted
2. Muhidini Ndolanga akihojiwa na Gazeti la Mwanaspoti
3. Muhidini Ndolanga Loliondo Gate
(hii ya tatu inataka $12)
Natumai huu utakuwa mwanzo mzuri kwako kumfahamu huyu mwamba.
Hajawahi kuwa rais wa TFFMedani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Muhidin Ndolanga kilichotokea leo jioni Dar es Salaam
Ofisa habari wa TFF, Clifford Ndimbo ameiambia Mwanaspoti kuwa kifo cha Mzee Ndolanga kimetokea katika Hospitali ya TMJ
"Ni kweli shirikisho na familia ya mpira wa miguu tumepata pigo la kuondokewa na Mzee wetu Alhaji Muhidin Ndolanga aliyewahi kuwa Rais wa TFF kilichotokea leo katika Hospitali ya TMJ.
Kwa sasa taratibu za kuuhifadhi mwili wa Mzee wetu ndio zinaendelea hivyo taarifa rasmi kuhusu utaratibu wa mazishi zitatolewa," alisema Ndimbo.
Ndolanga atakumbukwa kwa misimamo yake pindi alipokuwa Rais wa TFF na kabla ya hapo akiwa mwenyekiti wa kilichokuwa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (FAT) kuazia 1992 hadi 2004
enzi hizo za sport Leo redio oneMaulidi Mimi sikumwambia Baba yako asikupeleke shule wewe” nakumbuka sana hii interview.
Kitenge: Kwanini Taifa Stars imeshindwa kuweka kambi kwa wakati?
Ndolanga: Unajua wewe Maulid mimi ni sawa na babayako mzazi, sasa kwanini unaniuliza maswali magumu hivyo?
Hivi alikuwaga TANAPA huyu
Any way amefaidi mema ya nchi
Apumzike kunako mstahili
Ova
Buriani, Maulid Kitenge atakukumbuka daima kwa kile ulichokuwa ukimfanyia hewani live
walikuwa na mahojiano flani hivi Ndolanga akijibu kibabe mpaka Kitenge anakuwa mpole...Kwavipi
Binadamu tukiwa duniani tunapita mapito mbalimbali katika harakati za maisha na wakati mwingine mnajikuta katika migongano ya hapa na pale,nilipoiona hii habari ghafla nimejikuta nakumbuka kifo cha mzee mwenzake Said El maamry ambaye naye amefariki wiki chache tu zilizopita,
Nakumbuka wawili hawa kipindi fulani Ndolanga akiwa bado mwenyekiti wa FAT waliwahi kurushiana maneno ya hapa na pale kupitia vyombo vya habari hadi kufikia Ndolanga kumtaka El maamry amuombe radhi vinginevyo angemshtaki lakini nafikiri baadaye waliyamaliza kiutu uzima kwani sikumbuki vyema walivyomalizana.
Leo hii wazee hawa wote wameiacha dunia tena kwa kufuatana maana wamepishana wiki chache tu, basi nawaombea kwa mwenyezi Mungu viumbe wake hao na awasamehe madhambi yao na awape mapumziko mema,Amiina.
Uongeaji na sauti, utafikiri unamsikiliza Mkapa.Mkuu wasifu wa Alhaji Ndolanga siko nao, fuatilia hizi linki ujifungue macho.
1. Journalist assaulted
2. Muhidini Ndolanga akihojiwa na Gazeti la Mwanaspoti
3. Muhidini Ndolanga Loliondo Gate
(hii ya tatu inataka $12)
Natumai huu utakuwa mwanzo mzuri kwako kumfahamu huyu mwamba.