TANZIA Mzee Muhidin Ndolanga afariki dunia, aliwahi kuhudumu kama rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

Mwamba mwingine baada ya Hanspope umeondoka

Juma Othman Kapuya akiwa Waziri wa Michezo na Hayati Said Hamad El mamry walitaka kumpeleka peleka wakajisahau kuwa Huyu Mmakonde alikuwa na misimamo yake

Akiwa Mkurugenzi wa Misitu aliwahi kumtwanga Makonde Waziri wake Hayati Sebastain Kinyondo ( Mzee wa Kiko)

Pole sana Maulid Baraka wa Kitenge kuondokewa na aliekuwa kiboko yako ya Interview

Hakuwa anaogopa Interview na Mwandishi yeyote na Majibu Sahihi utayapata tu

I wish zile Interview korofi za wakati ule ziwekwe hadharan watoto wamjue Jabali hili
 
Apumzike kwa amani Muhidini Ndolanga.

Ila kwa mara nyingine tanzia zimekuwa nyingi wajameni.

Kwamba madaktari wa mikoa walipokutana majuzi walipendekeza chanjo ifanywe kuwa lazima?

Yawezekana hauko vizuri kwani zile mortuary (wodi 26 au 10) hawa ndiyo haswa ziko mikononi mwao.

Eeh Mola wetu bora ungesema na yule Farao mwenyewe kabisa, vinginevyo mawazo yake hayatatoka kwenye urais, post 2025.
Weka ushahidi kuonesha kuwa mzee wetu alikuwa hajachanjwa.
 
Binadamu tukiwa duniani tunapita mapito mbalimbali katika harakati za maisha na wakati mwingine mnajikuta katika migongano ya hapa na pale,nilipoiona hii habari ghafla nimejikuta nakumbuka kifo cha mzee mwenzake Said El maamry ambaye naye amefariki wiki chache tu zilizopita,
Nakumbuka wawili hawa kipindi fulani Ndolanga akiwa bado mwenyekiti wa FAT waliwahi kurushiana maneno ya hapa na pale kupitia vyombo vya habari hadi kufikia Ndolanga kumtaka El maamry amuombe radhi vinginevyo angemshtaki lakini nafikiri baadaye waliyamaliza kiutu uzima kwani sikumbuki vyema walivyomalizana.
Leo hii wazee hawa wote wameiacha dunia tena kwa kufuatana maana wamepishana wiki chache tu, basi nawaombea kwa mwenyezi Mungu viumbe wake hao na awasamehe madhambi yao na awape mapumziko mema,Amiina.
 
Ukweli usio na shaka

Mambo mengine ya kitaalamu msiyokuwa na ujuzi nayo mngekuwa mnakaa kimya!

Yaonesha hata hujawasikia wanaokumbushwa na mheshimiwa jaji kukaa kimya kwa kuwa siyo kazi zao.

Madaktari wa hospitali za rufaa za mikoa wanapendekeza chanjo iwe lazima ila vi mburumundu fulani vinajua kuliko wao?!

Hata kujishangaa hamna?!

Ashindwe askofu Rashid na alegee.
 
Mambo mengine ya kitaalumu msiyokuwa na ujuzi nayo mngekuwa mnakaa kimya!
Hivi hapa mtaalam ni nani?
Unataka kuniambia kupewa chanjo bure bila kujua aliyekupa aliigunduaje ndo utaalam?
Mbona mnadhalilisha taaluma?
Eti mtu anakwambia TUMEJIRIDHISHA. umejiridhisha nini?
ungekuwa na uwezo wa kujiridhisha si ungegundua ya kwako?
Jitafakalini mara mbili,msidhani kila mnayeongea naye ni mbumbumbu.
 
Namkumbuka huyu mwamba, Kuna kipindi ofisi yangu ilikua inatizamana milango na Yake. Ofisi yake alikua yeye na sekretari wake tu. Alikua anapaki Benz lake la kizamani slot ya kwanza kabisa pale maktaba. Sasa wewe Kama hujui ubaya, kapaki gari yako kwenye slot Yake.
All in all rest easy mwamba.
Habari hizi zimemfikia yule ex mbunge ex jail bird aliyewahi kuumbuliwa bungeni kwamba ana prison mentality?
 
Nilitaka niandike wema hawadumu kumbe nimejisahau kama kagonga sabini na upuuzi,, suala la wema nikikumbuka ya Mohammed mwameja acha tu nifunge domo langu, by the way r.i.p
 
Hivi hapa mtaalam ni nani?
Unataka kuniambia kupewa chanjo bure bila kujua aliyekupa aliigunduaje ndo utaalam?
Mbona mnadhalilisha taaluma?
Eti mtu anakwambia TUMEJIRIDHISHA. umejiridhisha nini?
ungekuwa na uwezo wa kujiridhisha si ungegundua ya kwako?
Jitafakalini mara mbili,msidhani kila mnayeongea naye ni mbumbumbu.

Wataalamu huwajui?

#COVID19 - Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

Make no mistake those guys are qualified doctors.

IMG_20210916_195226_185.jpg

Funga mdomo wako jombi. Unajidhalilisha tu.
 
Back
Top Bottom