Alimwambia aache mambo ya kishoga na kuongea kama bata papapapapaAlimfanyia Nini???.
Hata Abdalah Majura.Buriani, Maulid Kitenge atakukumbuka daima kwa kile ulichokuwa ukimfanyia hewani live
Weka ushahidi kuonesha kuwa mzee wetu alikuwa hajachanjwa.Apumzike kwa amani Muhidini Ndolanga.
Ila kwa mara nyingine tanzia zimekuwa nyingi wajameni.
Kwamba madaktari wa mikoa walipokutana majuzi walipendekeza chanjo ifanywe kuwa lazima?
Yawezekana hauko vizuri kwani zile mortuary (wodi 26 au 10) hawa ndiyo haswa ziko mikononi mwao.
Eeh Mola wetu bora ungesema na yule Farao mwenyewe kabisa, vinginevyo mawazo yake hayatatoka kwenye urais, post 2025.
Binadamu tukiwa duniani tunapita mapito mbalimbali katika harakati za maisha na wakati mwingine mnajikuta katika migongano ya hapa na pale,nilipoiona hii habari ghafla nimejikuta nakumbuka kifo cha mzee mwenzake Said El maamry ambaye naye amefariki wiki chache tu zilizopita,
Nakumbuka wawili hawa kipindi fulani Ndolanga akiwa bado mwenyekiti wa FAT waliwahi kurushiana maneno ya hapa na pale kupitia vyombo vya habari hadi kufikia Ndolanga kumtaka El maamry amuombe radhi vinginevyo angemshtaki lakini nafikiri baadaye waliyamaliza kiutu uzima kwani sikumbuki vyema walivyomalizana.
Leo hii wazee hawa wote wameiacha dunia tena kwa kufuatana maana wamepishana wiki chache tu, basi nawaombea kwa mwenyezi Mungu viumbe wake hao na awasamehe madhambi yao na awape mapumziko mema,Amiina.
Weka ushahidi kuonesha kuwa mzee wetu alikuwa hajachanjwa.
Hivi hapa mtaalam ni nani?Mambo mengine ya kitaalumu msiyokuwa na ujuzi nayo mngekuwa mnakaa kimya!
Hivi hapa mtaalam ni nani?
Unataka kuniambia kupewa chanjo bure bila kujua aliyekupa aliigunduaje ndo utaalam?
Mbona mnadhalilisha taaluma?
Eti mtu anakwambia TUMEJIRIDHISHA. umejiridhisha nini?
ungekuwa na uwezo wa kujiridhisha si ungegundua ya kwako?
Jitafakalini mara mbili,msidhani kila mnayeongea naye ni mbumbumbu.
Jibu hoja kwa hoja.Wataalamu huwajui?
#COVID19 - Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima
Make no mistake those guys are qualified doctors.
View attachment 1943894
Funga mdomo wako jombi. Unajidhalilisha tu.