Mzee Mtei uko wapi? MBAGA MICHAEL, Nae anautaka ubunge 2015 jimbo la Magu (chadema) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mtei uko wapi? MBAGA MICHAEL, Nae anautaka ubunge 2015 jimbo la Magu (chadema)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Oct 16, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Wakuu

  Heshima mbele katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kijamii facebook na twitter, nimekutana na ujumbe wa huyu bwana MBAGA MICHAEL(facebook) na mbagala_mbegu(twitter) akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Magu kwa Dr. Festus Limbu kupitia chama cha Chadema hapo 2015.

  Kilichonipa hamasa ya kuleta mjadala huu hapa ni;

  (1)Mzee mtei yuko wapi kumkemea huyu kijana kwa kukivuruga chama kutangaza nia?

  (2)Je, tatizo nikutangaza nia ya kugombea urais ndo unasakamwa?

  (3)Ukitangaza nia kwenye ubunge shwari tu kwa wanachadema?

  Nawasilisha,

  karibu tulijadili hili.
   
 2. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Dogo ukubwa dawa, aliyekutuma kakudanganya. Usirudie kuchezea wakubwa.
   
 3. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  maana yake nini?
   
 4. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  ooh....na hili nalo ni andishi???
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Mi tena naliona kubwa tu, kwa wanachama wa Chadema
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 4,998
  Trophy Points: 280
  Mwea,

  ..kwa uelewa wangu Mzee Mtei amekemea tabia ya kujitangaza kutafuta madaraka ktk ngazi zote.

  ..alimtaja Zitto na nafasi ya Uraisi kwasababu mwandishi alimuuliza swali specific.

  ..lakini kama umesoma habari nzima kuhusu response ya Mzee Mtei utaona kwamba amekemea hizi mbio za kutafuta madaraka/vyeo ktk ngazi zote.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  uclete mambo ya facebook humu. Huko huko
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Lakini pia tukumbuke Zitto sio mwanachama wa kawaida ndani ya chama chake. Ni mmoja wa viongozi wa juu, and as a leader ana jukumu la kuweka na kusimamia utaratibu ulio bora (msisitizo) wa namna ya kupata wagombea katika ngazi mbali mbali.

  Kila jambo lina wakati wake na taratibu zake. Kama mtu haoini (au hajali) kuwa akisema jambo fulani wakati fulani na style fulani litaharibu badala ya kujenga kwanini afanye hivyo?
   
 9. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  kuna point hapa nitarudi badae.
   
 10. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Huyu mzee Mtei kachanganyikiwa, hivvi hujui kama ana ugonjwa wa Demens (kusahau). Kumbe wabunghe wa CHADEMA hata hawamjali, wanamuona kama kikatuni.
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio katuni ya kwanza hapa JF.
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Huyo Kijana kutangaza NIA ya KUGOMBEA UBUNGE MAGU Unataka Mzee MTEI amkemee kwa nini? Kama Mzee MTEI Haoni Tatizo la kuwa na wagombea zaidi ya Mmoja kwenye SAFU ya UBUNGE kwa TICKET YA CHADEMA; Nadhani CHADEMA nia KAMATI Kuu KAMA VYAMA VINGINE...

  Au Unazungumizia haya Kwasababu ya ISSUE ya MH. ZITTO KABWE?


  ZITTO KABWE, labda MZEE MTEI ameona MTIRIRIKO wa Kuhoji Issue yake ya KUGOMBEA URAIS; Sio Lazima ana Hoja na Issue na Wagombea Wengine wanaoutaka URAIS; SIJASIKIA MZEE MTEI akimkemea KIJANA wa UMOJA wa VIJANA wa CHADEMA anayetaka KUGOMBEA URAIS...

  There are arrogant people in this world and, what is worse, arrogant judges...
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio tatizo la kunywa gongo halafu unakuja JF
   
 14. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Kumbe?
   
 15. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kale kazee nikadini balaa.Halafu sasa hivi atakuwa na upungufu wa akili siunajua kinga ikipungua mwilini hata akili nayo inapungua
   
Loading...