Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Hawa madereva wa daladala yaani huwa akili zao wanazijua wao wenyewe sijui huwa ni bangi wanakuwa wameishapuliza asubuhi
 
Duh! Kweli siku ikipita unamshukuru MUNGU mwenye uwezo wa kuepusha hata majanga 2sioyajua yaliyo mbele ye2 kila wakati. Tuna haja ya kumtaja kila wakati hata humu jamvini tufarijiane kwa kila hali tuliyonayo wajameni. Mpe pole ze2 nyingi sana na bila shaka MUNGU mwenye uweza wa yote atamrejeshea nguvu na tutaendelea ktk ujenzi wa Taifa ambalo magamba wanataka kulimalizia. Mpe pole zangu nyingi na nitamweka ktk IBADA.
 
Amin,salam zimefika.
 
Pole Mtambuzi, nakutakia kupona kwa haraka...poleni familia!
 
Pole sana mzee wetu mzee mtambuzi.pole sana,tunakuombea Mungu akuponye mapema.
 
Habari za asubuhi wadau,napenda kuwajulisha kuwa Baba yetu Mzee Mtambuzi amepata ajali asubuhi ya saa kumi na mbili leo ya kugongwa na gari daladala T.837 AUK na wakati akivuka barabara maeneo ya Tabata mawenzi ambato daladala hilo lilingia kushoto gafla likiovertake daladala lingine kuwahi abiria ndipo lilimkuta baba na kumgonga.Katika ajali hiyo baba amevunjika mkono wa kulia na yuko Amana hospitali kwa matibabu,mpaka naandika hii taarifa alikuwa bado anasubiri kufanyiwa kipimo cha x-Ray nakujua amevunji https://www.jamiiforums.com/login.php?do=login
Pole sana Mzee Mtambuzi.. Pona hara.... tunakuhitaji na familiani...
 
Hawa madereva wa daladala yaani huwa akili zao wanazijua wao wenyewe sijui huwa ni bangi wanakuwa wameishapuliza asubuhi

mkuu sio bangi bali ni pilika ili akamilishe hesabu ya tajiri mapema yaani target yao inakuwa mpaka sa10 ya boss iwe tayari na baada ya hapo inatafutwa ya kwao
 
Pole sana Mzee Mtambuzi na familia yako.
Mungu akubariki utibiwe haraka, akuponye na akurudishe katika harakati zako za kila siku ktk Ujenzi wa Taifa.
Tunakuombea kila la heri
 
Pole baba Mtambuzi, Mungu akupe faraja katika wakati huu mgumu wa ajali, pia akujalie kupona haraka.

Pole dada Cantalisia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom