Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Mzee Mpili ametupa somo kubwa sana, ametufundisha tena, tena kwa vitendo juu ya nguvu na nafasi ya saikolojia. Kwamba hamasa ya kuinua morari, munkari na kujiamini Kwa watu wakiwa katika Hali Fulani ya kukabiliana na Jambo kubwa mbele Yao.
Lakini pia ninachokiona mimi kichochochea kikubwa kwa Yanga kufanya vizuri, ni ule Mkutano Mkuu.
Maazimio ya Mkutano ule uliwafanya Wanayanga wawe wamoja zaidi na wasahau tofauti zao za kimtazamo.
Maana kumbuka kabla ya mkutano tayari kulikuwa na Watu wanasema hakuna kucheza tarehe 03, wapo waliokuwa wanalaumu Uongozo wa Dr. Msola wakisema dhaifu.
Lakini kusomewa taarifa za hesabu na mpango wa Mabadiliko na jinsi Jk ilivyochomekea vibwagizo katika hotuba yake, watu wakasahau ya nyuma na kuwa na msimamo wa pamoja... Hii Ndio Yanga Africa