Mzee moja mkoani Mwanza azuiwa kumwoa mwanafunzi wa kidato cha tatu mke wa saba .

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,467
Habari zenu wanajukwaa. Ni tukio la aina yake mkoani Mwanza amabapo mzee moja hupenda kuoa dogodogo. Ana miaka zaidi ya 70 na wake 6 na hakuna mwenye miaka zaidi ya 40. Baada ya kuoa binti wa kidato cha tatu kwa ng'ombe 10 hapo ndipo uongozi wa serikali za mitaa uliposema hapa hapana. Binti ana miaka 16 na alikuwa awe mke wa 7. Mzee alipima HIV na binti na wote walikutwa salama. Mzee alishangilia sana na kuruka kwa furaha kwa majibu hayo na kuchinja bata mkubwa kwa kuwa na afya salama. Hata hivyo viongozi walizuia ndoa hiyo. Ana watoto wengi wenye miaka kati ya miwili na minane na watoto wote havaa sare za T shirt. Miongoni mwa wake hao 6, wanne wana mimba wengi wakiwa na miaka 20 na 25.Nitazidi kuleta Updates. Source RFA
 
Back
Top Bottom