Mzee Mohamed Said acha kupindisha historia, ni Nyerere aliyetuletea uhuru, sio wengine

Denvers,
Hakuna mada aliyoandika na kusema nyerere hakustaili kuwa na historia kubwa ila yeye anasisitiza michango ya wengine katika historia ya uhuru.

Kuna mengi sana unahitajika kuyajua juu ya uhuru
Hata wewe unaposoma makala za mzee huyu jaribu kusoma bila kudhani lolote juu ya dini na hapo ndipo utaelewa vizuri
 
Kupindisha ukweli kwamba JKN ndie alieleta uhuru inji hii ni ngumu sana kama Ngamia kupenya tundu la sindano
 
Kupindisha ukweli kwamba JKN ndie alieleta uhuru inji hii ni ngumu sana kama Ngamia kupenya tundu la sindano
N...

Kitabu kipya kufuatilia cha kwanza kilichoeleza mchango wa Sheikh Rashid Sembe, Tewa Said Tewa na Zuberi Mtemvu kitakuwa Ibn Hazm Media Centre, Msikiti wa Manyema, Mtoro na Mtambani kuanzia siku ya Ijumaa tarehe 22 November 2019.

Kitabu hiki kinaeleza maisha ya marafiki wawili kutoka Lindi Salum Mpunga na Yusuf Chembera wote wanafunzi wa Sheikh Yusuf Badi jinsi walivyoweza katika hali ngumu ya ukoloni uliokuwa Southern Province (Mkoa wa Kusini) ambako serikali ya kikoloni na mshirika wake mkuu walikuwa wanawatisha wananchi wasijiunge na TANU lakini juu ya vitisho hivi wazalendo hawa kutoka tabaka la chini kabisa waliweza kuwahamasisha wananchi wa mikoa ya kusini kuingia TANU.

Wakaweza pia kumuingiza na mwalimu wao Sheikh Yusuf Badi kujiunga na TANU na kujiunga na TANU kwa Sheikh Yusuf Badi kukaipa TANU nguvu kubwa ya kuweza kukieneza cha kote hadi Peramiho, Masasi na kote kusini.

Safari ya kwanza ya mafanikio aliyofanya Mwalimu Nyerere ilikuwa Lindi kwa kuitika mwaliko uliotoka kwa wazalendo hawa, mwaliko ambao ulifikishwa Ofisi ya TANU wakati wa mkutano wa mwaka wa kwanza wa TANU mwaka wa 1955, wajumbe katika mkutano huu akiwa Salum Mpunga na Ali Mnjale.

Jina la Peter Mhando halijasikika katika historia ya TANU.

Peter ni mdogo wake Steven Mhando ambae na yeye kama kaka yake jina lake halipo katika historia ya TANU ingawa mchango wake ni mkubwa kiasi wakoloni wakamuitikadi kuwa ni Mkomuisti.

Peter Mhando ndiye aliyepelekwa Makao Makuu ya TANU, New Street kutoka Tanga kuja kuongeza nguvu katika uongozi wa TANU uliokuwa Makao Makuu.

Peter Mhando kutoka Dar es Salaam akatumwa Tabora akamalize mgogoro wa TANU uliokuwa unafanya chama kisipige hatua kusonga mbele.

Peter Mhando katika taarifa yake kwa Rais wa TANU Mwalimu Julius Nyerere, alipendekeza Mkutano Mkuu wa TANU wa mwaka wa 1958 ufanyike Tabora na ikasadifu kuwa ndiyo ukawa Mkutano wa Kura Tatu.

Peter Mhando hakuwa na maisha baada ya kukamilisha kazi hii aliyotumwa na Mwalimu Nyerere.

Peter Mhando alikufa kijana sana na hakushuhudia Mkutano wa Kura Tatu.

Hawa ndiyo mashujaa wa TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika ambao historia imewasahau.

Kitabu hiki cha pili ni muendelezo wa vitabu vidogo vya kuwakumbuka mashujaa hawa.
 
Kwa mantiki hiyo wamaaanisha nini?
Mfano mdogo. Kuna matukio yanatokea kwa ajili ya kuondoa intention ya watu katika jambo Fulani.

Msanii anatoa nyimbo Kali at the same time mwingine anafanya tukio. Vivyo hivo hata katika siasa duniani kote. (Anayefanikiwa ni mwenye power kubwa).
 
HISTORY

Ninachomaanisha hii dunia kuna mambo mengi ambayo katika historia yameandikwa kinyume.

SIASA

Wamarekani akina Bush wamefanya mambo mengi mabaya lakini hawajiiti madikteta ,Lakini kwa power waliyonayo wanaweza kuwaita viongozi wetu wa Africa madikteta.

SANAA

Kuna wasanii wanaimba kuliko hao wawili, lakini hawasikiki course hawana power.
Na ndo maana wanakubali kuwa chini ya watu wenye power ili wasikike.
E.g Leo hii utaskia HARMONIZE kapotea
SWALI; alivotoka WCB aliwaachia sauti?
Means aliondoka yeye kama yeye power iliyokuwa ikimsapoti ilibaki WCB.

POWER ZINAZIDIANA

Kuanzia katika familia,kimtaa,kiwilaya,kimkoa ,kitaifa na kimataifa.
Mkuu wa mkoa wakati wa vyeti na zile footage ile power iliyotumika kuhakikisha anaondolewa ilikuwa siyo ya kitoto.
Ile Power iliyotumika ilikutana na power Zaidi na ndo maana hakuna mafanikio yaliyopatikana.

Kwa ufupi that's so called POWER.
(Naomba niache mada hewani Akhsante).
Kwa mantiki hiyo wamaaanisha nini?
 
Back
Top Bottom