Mzee Mohamed Said, mwanaJF bora

sheikh muddy (jokes) anastahili kwakweli...Mzee mvumilivu sana, anashambuliwa humu lakini anakwenda hoja kwa hoja...wengine ingekuwa mitusi tu..
 
Katika hafla ya utoaji zawadi kwa washindi wa shindano la leo la Stories of Change, lililofanyika usiku wa leo tarehe 15 Oktoba, 2021.

Mwanachama mmoja wa JF alitajwa kuwa ni wa kipekee akionesha uvumilivu, ukomavu na uelewa mkubwa kwenye michango yake ya maoni.

Mzee Mohamed Said ametajwa kukidhi vigezo hivyo.

Tumpongeze mwanachama mwenzetu kwa kutambuliwa kwake na kupewa zawadi kutoka JF


Nami nimejifunza mengi sana kwake
Sema tori zake huyu babu ni za kusema waislamu walionewa
 
Back
Top Bottom