Mzee Mndolwa: Kwetu CCM uongozi siyo ajira ya mtu kujinufaisha bali ni kujitolea na tunasema mtu mmoja cheo kimoja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,413
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM mzee Mndolwa amesema uongozi ndani ya CCM ni jambo la kujitolea siyo ajira.
Dr Mndolwa amesema viongozi wote wa CCM unaowaona hawakitegemei chama bali wana kazi zao zinazowapatia riziki, amesema hata yeye ilitokea nafasi ya ubunge jimboni kwake hapa juzikati lakini hakugombea kwa sababu ameridhika na nafasi " moja " aliyonayo.

Chadema mna cha kujifunza hapa.

Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
 
Hii nchi ina sinema sana. Yeye mwenyewe ameingia kwenye siasa baada ya kustaafu Delloitte….duh...ukiwasikiliza na kuwaamini wanasiasa wa Tanzania utakuwa mtu wa kuwapigia makofi mpaka unaondoka kwenye hii dunia.
 
Hahahaa.........!
 
Back
Top Bottom