Mzee mmoja kaishi miaka 20 bila kuongea na mkewe huku wakiishi pamoja

KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,002
5,176
Huko Japan mzee mmoja ameishi miaka 20 bila kuongea na mkewe lakini wamekuwa wakiishi pamoja na kushirikiana masuala yote yahusuyo mahusiano ya mume na mke lakini mambo yote hayo yanaenda ki bubu bubu hakuna kuzungumza,

My take : kale kamchezo hakaitajigi hasira mzee makaza mchana usiku anadandia Uda wewe mwana JF unaweza
359aec72684e455c477a7b62256b9d87.jpg
 
Back
Top Bottom