Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,697
- 12,758
Unakubali kwamba kipindi Cha mwendazake ukabila ulikuwa unarudi kwa kasi ya ajabu?Nchi bila umoja wa kitaifa na amani haiwezi kuendelea hiyo ndio injini iliyobomoa ukabila Tanzania na kuulilia mbali uchifu Tanzania na kushauri Lugha ya Taifa iwe kiswahili na kupiga marufuku matumizi ya lugha za kienyeji kwenye vyombo vya habari na maofisini na mikutano ya kampeni za kisiasa.
Huu umoja wa kitaifa unaouona hiyo ndio injini behind the scene ya Nyerere.
Jeshi kusukwa likadukika injini ni huyo mzee.
Ushabiki tuweke pembeni