Mzee Mkinga asusia kongamano la katiba,atoka nje kwa hasira kabla ya kongamano kuisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mkinga asusia kongamano la katiba,atoka nje kwa hasira kabla ya kongamano kuisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Apr 3, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mzee mkinga ambaye amejizolea umaarufu kutokana na uwezo waka wa kuchangia hoja katika mijadala mbalimbali jana alisusia kongamano la katiba lililofanyika UDSM nkuruma hall mara baada ya kukosa nafasi ya kuchangia. Mkinga alikusanya vitu vyake na kutoka nje ya ukumbi wa nkuruma mara baada ya dr mkumbo kutaja wachangiaji wa mwisho ambao walikuwa prof safari, prof baregu na dr lwaitama. Baada ya majina hayo kutajwa mkinga alinyanyuka na kutoka nje huku akilalamika na kusema wameamua kupeana nafasi maprofesa peke yao. Baadhi watu walisikika wakilaani kitendo hicho cha mkinga na kusema "acha atoke siku zote anajiona yeye ndio anayejua kuchangia peka yake mbona kuna watu wengi tu hawajapata nafasi". Pia walimbeza na kusema amedharau mawazo ya wenzaka wakati yeye akitaka asikilizwe na kwamba amejishushia heshima. Source: eye witness from nkuruma hall.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,692
  Likes Received: 3,572
  Trophy Points: 280
  Huyo mzee anapagawa sasa katiba michakato bado sana ndio kwanza kweupe ss analalamika nn?hana uzalendo anataka misifa binafsi aende zake
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,346
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Kwani alialikwa? Na kama alialikwa, alialikwa aje kwenye kongamano kufanya nini? Nadhani maswali haya ni ya msingi kabla ya kupima malalamiko yake!
   
 4. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mi ni mmoja wa watu walio mweleza kuwa aijione kuwa yeye ni muhimu saana kuliko watu wengine. Nashukuru saana yeye na wengine inabidi wajifunze kuwa Mijadala ya Chuo kikuu si kama ile ya uraiani ambako wenye ujasiri wa kuongea ni watu wachache. Huku wapo wengi tu, ni suala la muda na nafasi. Kwetu sisi wa UDSM huwa haitupi taabu kwa watu kama hao. Mbona wenzie wanaharakati kama Jenerali Ulimwengu, Ananilea Nkyaa na KIBAMBA walikuwepo na hawakupata nafasi ya kuongea na hawakuchukia???
   
 5. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini Mkinga ni jasiri kuliko hawa maprofesa ambao wengi ni kama mwewe tu. Unapomwacha jasiri na kumpa mwewe nafasi kulikoni?
   
 6. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  daa! mwenyewe nilimuona kwenye tv jinsi alivyonuna, ila wangejua yule dogo ataongea nini basi badala yake wangempa tu mzee wangu lenatus mkinga.
   
 7. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,862
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Si lazima kila mtu achangie.
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,764
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkusanyiko ambao haukuwa huru kwa wachangiaji wa vyama vingine au mnazungumzia upi.....?
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole sana Mzee Mkinga kongamano lijalo nadhani utapata nafasi ya kuchangia, usione kama wamekufunga:tape:
   
 10. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkinga afahamu siasa ni mchezo mchafu, waliopanga safu ya watoa mada wanajua nini maprofesa watasema na wapi ni limitation yao, bt kwa ndugu mkinga wanajua ungeharibu maana wewe una udhubutu.
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,104
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  mkinga anaongea vizuri ok. Lakini muulize yeye hana dhana ya mageuzi,yeye ni mccm tu,sema ana mawazo mazuri. Tangu atoke kitengo cha Uhamiaji wizara ya m/ya ndani uliza anafanya nini kwa sasa. Si wa kuaminika,anaongea sana ila hana sounding decision!
   
 12. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,104
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ndo huo huo! Ambao mwenyekiti wake aliweka wazi wiki nzima kabla ya kongamano kuwa vyama alikwa ni vile tu vyenye uwakilishi mkubwa bungeni. Haraka haraka hapa ni Cdm,ccm na cuf. Au unasema vyama vp vingine?
   
Loading...