Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

we unaangalia magorofa leo umeona alivyozindua uwanja wa ndege ? roho zinawaumaaaaaa?
uwanja was ndege uliojengwa2014 kabla hajajua kama itakuwa "rahisi " halafu program za ujenzi wa vijana vya ndege havihusiani na upuuzi wenu wa siasa hata ingetawala CHAUMA huo uwanja ungejengwa, ila raisi asingekuja kuufungua angekuja waziri. Raisi ni taasisi kubwa, hata terminal 2 Nyerere hakuna kufungua
 
Imethibitika kuwa makatibu wakuu wa ccm ni wapumbavu. Wenyeviti wao wamesalimikaje?
kuna makosa yanaweza kufanywa na Waziri mkuu , Rais anaweza asijue hata kidogo hivyohivyo kuna makosa yanaweza kufanywa na katibu mkuu ila mwenyekiti anaweza asijue na hiyo ndio dhana nzima ya kutoingiliana majukumu.

N.B: hapa namzunguzia mwenyekiti wa CCM na KM wa CCM , vyama vingine havina mgawanyo wa majukumu ndio maana yanapotokea matatizo tunahoji uhusika wa mwenyekiti moja kwa moja hata kama limetendwa na katibu wa kata wa chama
 
Kama unajua maana ya "collective responsibility" utakuwa umefanya makosa ya kipumbavu kuandika ulichoandika.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
uwanja was ndege uliojengwa2014 kabla hajajua kama itakuwa "rahisi " halafu program za ujenzi wa vijana vya ndege havihusiani na upuuzi wenu wa siasa hata ingetawala CHAUMA huo uwanja ungejengwa, ila raisi asingekuja kuufungua angekuja waziri. Raisi ni taasisi kubwa, hata terminal 2 Nyerere hakuna kufungua
acha mihemuko ya kisiasa utakufa bure unaumia mno hivi mradi mkuwa kama huo unaona hajafanya kazi kweli wewe akiliyako haiko kichwani itakuwa zile sehemu kwenye chakula cha inzi hebu taja moja tu alilofanya magu basi nikuone kama una akili kidogo
 
Wapinzani wanao dai wanapambana kulikomboa taifa hili Ni wapumbavu

Wapinzani wanao fikiri kuwa kuna mkoloni taifa hili Ni malofa

Wapinzani wanao nadi sera zao kuwa wataliletea taifa hili maendeleo si wapumbavu si malofa.

Nchi yetu ilisha kombolewa na wazee wetu na tunawaheshimu, and that is the truth
 
Duuu, haki ya Mungu siasa mchezo mchafu kweli.

Yani ufunguzi wa kampeni zote za jana jambo ambalo limebeba bango ni maneno ya Rais mstaafu Mkapa.
Sasa hivi nashika kusema Mkapa kusema vile ni moja ya mbinu za kisiasa kuwapumbaza watu wasione madhaifu mengine. Mimi nimeangalia karibuni tukio zima kulikuwa kuna mapungufu mengi tu lakini watu hata hawazungumzi. Sasa hivi nimeona post ya Lowassa facebook na yeye habari ni hiyo tu tumetukanwa.

Siasa mchezo mchafu kweli
FB_IMG_1595588226206.jpg
FB_IMG_1595588226206.jpg
 
Back
Top Bottom