Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Mwaka huu kwa watu wenye akili timamu na wapenda maendeleo Haipingiki kua CCM Hawana chao..Ila kwale ambao wanadhani siasa ni ushabiki wameendelea kushangilia vipenga vya Ccm wakiamini Ushindi utawapa usingizi wasichekwe..WAMEBAKIA KUTUMIWA KWA MSHAHARA WA MAPUMBA NA MAJI..MAZUZU AMKENI MUWE JAPO MALOFA TULIOKOE TAIFA.
 
dalili zote zinaonyesha CCM inakufa tena inakufa kifo kibaya ,kile kifo cha kutoa macho,kurusha miguu na mateke ,sijui alikuwa na dhambi gani ,watu wanaulizana Mkapa kimemsibu kitu gani,anahofu ya nini mpaka jana ameonekana jukwaani akifoka sana huku kijasho kikimtoka.

Mkapa ni aliekuwa Raisi wa waTanzania wote kwa muda wake wa miaka kumi ,leo hii kuonekana jukwaani akiwambia wananchi bei za mazao yao zitapandshwa ,kama akilijua hilo inakuwaje leo anarudi kuwambia alivyowambia wananchi ? Anazidi kumzamisha magufuli na chama chake,hayaa safari njema akhera.
 
Kauli ya Rais Mstaafu ilipokelewa kwa hisia tofauti miongoni mwa watu wenye nia tofauti.

1; Wanasisiemu Waliona mheshimiwa yuko sahihi kwa kauli yake, kwa sababu wanaoikataa sisiemu hawajielewi

2; Wana Ukawa Waliona Mheshimiwa yuko sahihi kwa kauli yake kutokana na makosa yao ya kuendelea kukichagua chama kinachosababisha wao wabaki kuwa malofa.

Kwa Tafsiri ni kwamba bila sisiemu Malofa Wasingekuwepo,
lakin ukigeuza sarafu upande wa pili ni kwamba bila MALOFA sisiemu itandelea kuwepo.
kwa sababu malofa ndo wanaipinga sisiemu

Ugumu unakuja pale ambapo tunataka Tanzania ISIWE NA MALOFA,

ili tusiwe na malofa inabidi tuking'oe chama kilichotujazia malofa, na wakuing'oa sisiemu madarakani ni Malofa.

THE ANSWER IS Tuombee Malofa Waendelee Kuzaliwa ili wawe wengi waweze kukitoa chama kinachotusababishia Malofa.

Na mwaka huu naamini Malofa watafanya kitu cha kipumbavu kwa sisiemu upo hapo?
 
Bunge ndilo linaloiangusha ccm uchaguzi huu.wapinzani walinyanyasika sana.
 
1.mkapa~anayewaita viongozi aliowateua na raia aliowaongoza kwa miaka 10 kuwa ni wapumbavu,malofa na mbumbumbu wakati yeye ndiye aliyewapa hayo yote.

2.makambajr~anayetumia sera na msemo wa wapinzani usemao "lowasa,mabadiliko" yeye akapaste "magufuli mabadiliko" na kuacha wa kwake wa "adinselemaaa"

3.magufuli~mwanasiasa anayekili hajui siasa,huku akifananisha mabadiliko ya tanzania na libya,pia akishangaa hospital hazina dawa kama alikuwa mbunge china kumbe wa chato tu hapo!

makongoro:aliyepewa ubunge na ccm pamoja na mnadi rais wa ccm wakati baba yake hakumuamini hata kumpa mbuzi wake akachunge!

nani mbumbumbu bora kati yao...
 
Makamba Jr. bado anajinamizi la wiki iliopita uwanja wa Taifa. naona kama anaanza KUBADILIKA vile...
 
mniwie radhi ktk hii orodha nimemwacha anti lusinde yeye ana sifa ya ziada ya kupakuliwamosamvulakopo hivyo msiwaze
 
Back
Top Bottom