Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

W

WIGWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
218
Points
250
W

WIGWA

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2019
218 250
Taja sambamba na deni la taifa mkuu! Tuwe tunaenda sawa.
deni la taifa halikwepeki tena letu ni himilivu lakini matokeo si mnayaona? au nikuulize kitu kimoja hivi magu tangu ameingia madarakani hajafanya hata kimoja cha maana hebu niambie
 
M

magia

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,069
Points
2,000
M

magia

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,069 2,000
we unaangalia magorofa leo umeona alivyozindua uwanja wa ndege ? roho zinawaumaaaaaa?
uwanja was ndege uliojengwa2014 kabla hajajua kama itakuwa "rahisi " halafu program za ujenzi wa vijana vya ndege havihusiani na upuuzi wenu wa siasa hata ingetawala CHAUMA huo uwanja ungejengwa, ila raisi asingekuja kuufungua angekuja waziri. Raisi ni taasisi kubwa, hata terminal 2 Nyerere hakuna kufungua
 
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
736
Points
1,000
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
736 1,000
Imethibitika kuwa makatibu wakuu wa ccm ni wapumbavu. Wenyeviti wao wamesalimikaje?
kuna makosa yanaweza kufanywa na Waziri mkuu , Rais anaweza asijue hata kidogo hivyohivyo kuna makosa yanaweza kufanywa na katibu mkuu ila mwenyekiti anaweza asijue na hiyo ndio dhana nzima ya kutoingiliana majukumu.

N.B: hapa namzunguzia mwenyekiti wa CCM na KM wa CCM , vyama vingine havina mgawanyo wa majukumu ndio maana yanapotokea matatizo tunahoji uhusika wa mwenyekiti moja kwa moja hata kama limetendwa na katibu wa kata wa chama
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
23,387
Points
2,000
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
23,387 2,000
kuna makosa yanaweza kufanywa na Waziri mkuu , Rais anaweza asijue hata kidogo hivyohivyo kuna makosa yanaweza kufanywa na katibu mkuu ila mwenyekiti anaweza asijue na hiyo ndio dhana nzima ya kutoingiliana majukumu.

N.B: hapa namzunguzia mwenyekiti wa CCM na KM wa CCM , vyama vingine havina mgawanyo wa majukumu ndio maana yanapotokea matatizo tunahoji uhusika wa mwenyekiti moja kwa moja hata kama limetendwa na katibu wa kata wa chama
Kama unajua maana ya "collective responsibility" utakuwa umefanya makosa ya kipumbavu kuandika ulichoandika.
 
W

WIGWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
218
Points
250
W

WIGWA

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2019
218 250
uwanja was ndege uliojengwa2014 kabla hajajua kama itakuwa "rahisi " halafu program za ujenzi wa vijana vya ndege havihusiani na upuuzi wenu wa siasa hata ingetawala CHAUMA huo uwanja ungejengwa, ila raisi asingekuja kuufungua angekuja waziri. Raisi ni taasisi kubwa, hata terminal 2 Nyerere hakuna kufungua
acha mihemuko ya kisiasa utakufa bure unaumia mno hivi mradi mkuwa kama huo unaona hajafanya kazi kweli wewe akiliyako haiko kichwani itakuwa zile sehemu kwenye chakula cha inzi hebu taja moja tu alilofanya magu basi nikuone kama una akili kidogo
 
Forum statistics

Threads 1,326,423
Members 509,499
Posts 32,221,439
Top