Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

hivi kwa akili yenu ndogo mnadhani mtu asiyejua sera za chama wala miiko yake hata mipango yake awe kiongozi mkuu inawezekana kweli! Tafakari, chukua hatua. Magufuli mpango mzima na atawavusha watanzania wala si lowahasa na duniii
 
Nliwah kusema mapema sana suala la UKAWA kujipanga na kuangalia sana wanaohamia UKAWA toka CCM wengi walisema mimi ni chizi kama ambavyo jija langu lilivyo. Nliwaambia Muogope sana CHIZI ANAYEJITAMBUA KULIKO MTU MWENYE AKILI ASIYEJITAMBUA KUWA ALIPEWA AKILI HALAFU HATUMII.
Juzi hapa nlisema kuwa MKAPA aliwaita UKAWA/WAPINZANI ni WAPUMBAVU NA MALOFA. nikataka kusikia watajibu nini nashukuru kwa ASILIMIA 95 WALIKUBALI. Nikaanza tena kuwa na hofu. OGOPA SANA WAPUMBAVU NA MALOFA Wanaojikubali kuwa ni kweli ni wapumbavu na laofa kuliko wale wanaokataa. LEO naleta mambo kadhaa ya kuangalia kwa makini sana UKAWA.
1. UKAWA inaweza kuvunjika mara baada ya UCHAGUZI au hata kuwa na migogoro Mingi sana Tunapoelekea kwenye Uchaguzi. sababu kuu ni kuna wana UKAWA wanaohujumu chama kwa kiasi kkubwa wakiwa wanafanya kazi kwa maelezo toka CCM usalama wa taifa
2. Kuna watu waliokuja UKAWA kwa kutafuta MADARAKA/ hasira za CCM. kulikuwa hakuna haja kumpokea na kumpa nafasi ya Kugombea Ubunge(nisahihishwe kama si kweli) mtu kama Said Nkumba kwa sababu Nkumba alikuwa ni mmoja wa tu wenye upeo mdogo sana wa kufikiria na kuamua mambo muhimu, akina nkumba wengi bado wapo CDM.Waangaliwe watu kama Akina Tambwe Hiza hawa si wanasiasa ni wanamaslah... Tambwe Hiza alikuwa wapi miaka yote hii aje kuibukia leo Mkutano wa Ukawa? Ni rahisi tu.. CCM walimtema tambwe hiza baada ya Kumtumia sana na baadaye akakosa matumizi. huyu alichoka sana kimaisha... sasa anarudi kupitia Ukawa na kuna siku atarudi tena CCM kiukweli hana mchango wowote kwa Harakati hizi za Ukombozi awe ni mtu wa kawaida tu.
3. UKAWA jipangeni kuzungumzia ADHA WALIZO NAZO WANANCHI msijishahau mkaingia kwnye siasa chafu za CCM. huko CCM watawashinda kwa kuwa wana uzoefu mkubwa wa siasa chafu kwa kutumiw watu wake mbumbumbu wasiojilewa. inabid mjitofautishe nao. ni muhimu sana kujitofautisha na CCM. maana wanawavuta muelekee uelekeo wao kwa kutaka kuwatoa kwenye mambo ya muhimu ya wananchi.
4. Haya majimbo mawili ambayo hamjayatolea maamuzi mpaka sasa yatawathiri hasa jimbo la segerea ambalo ningeshauri abaki nalo Mtatiro huyo dada mngemtafutia kazi nyingne but jimbo la segerea haliwezi hata kidogo.
5. Mmejipanga vipi ikiwa CCM WATAIBA KURA NA KUJITANGAZA WASHINDI? hapa ndipo mtakapopoteza wanachama wengi sana ikiwa hamtakuwa makini katka hili. na baada ya hapa UPINZANI utakufa maana hakutakuwa na WATU WENYE KUAMINI TENA UPINZANI. WENGI wataacha SIASA au kurudi CCM.

haya mtayakataa, mtayapinga kwa ukali na kebehi na kunidhihaki. tuombe uzima maana mtakuja kuyakumbuka.
Wenye kutafakari mambo kwa kina tumekuelewa sana na kifupi uko sahihi,
 
jana wapumbavu na malofa tumemuonesha kazi

attachment.php
 
Heee! Huyu ni huyu huyu Benjamin William Mkapa ninayemjua - basi mawili, anazeeka vibaya au alipanda jukwani akiwa amelewa viroba kama wafuasi wa upinzani amabao huwa indaiwa wanapewa viroba. Vile vile yawezekana ni ulevi wa kuvimbiwa baada ya kumlisha kwa kodi zetu sasa zinaturudia kwa matusi na si kejeli kama wengi wanavyojaribu kuipooza lugha kali aliyotumia tena kwa kurudia.
Yatosha kumshauri, bila kuona kama anadhalilika atuombe radhi watanzania, ambao ndio tunamlisha kwa kodi zetu mpaka hii leo, kwani amedhalilika zaidi kwa kauli yake hii. Lakini pia ningekuwa mimi ni mwenyekiti wa CCM ningejitenga na kauli ile kwa kuutangazia umma kuwa yale aliyoyasema Bwana Mkubwa Mkapa ni yake na si sera ya CCM kuwatusi wadau wake kwani nayo inapata ruzuku zitokanazo na kodi za hawa hawa wanaotukanwa.
Vile vile nashangaa tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa na Bwana Mkubwa wa Polisi na vyombo vingine havijatamka neno licha ya kuwa lugha za kuudhi hazikubaliki na zinaweza kuzua hasira kwa upande wa pili na kupelekea machafuko.
Nchi hii ni yetu sote, tusikubali hawa waliovimbiwa kutuharibia nchi yetu ni lazima kuwakemea kwa umoja wetu.
 
Heee! Huyu ni huyu huyu Benjamin William Mkapa ninayemjua - basi mawili, anazeeka vibaya au alipanda jukwani akiwa amelewa viroba kama wafuasi wa upinzani amabao huwa indaiwa wanapewa viroba. Vile vile yawezekana ni ulevi wa kuvimbiwa baada ya kumlisha kwa kodi zetu sasa zinaturudia kwa matusi na si kejeli kama wengi wanavyojaribu kuipooza lugha kali aliyotumia tena kwa kurudia.
Yatosha kumshauri, bila kuona kama anadhalilika atuombe radhi watanzania, ambao ndio tunamlisha kwa kodi zetu mpaka hii leo, kwani amedhalilika zaidi kwa kauli yake hii. Lakini pia ningekuwa mimi ni mwenyekiti wa CCM ningejitenga na kauli ile kwa kuutangazia umma kuwa yale aliyoyasema Bwana Mkubwa Mkapa ni yake na si sera ya CCM kuwatusi wadau wake kwani nayo inapata ruzuku zitokanazo na kodi za hawa hawa wanaotukanwa.
Vile vile nashangaa tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa na Bwana Mkubwa wa Polisi na vyombo vingine havijatamka neno licha ya kuwa lugha za kuudhi hazikubaliki na zinaweza kuzua hasira kwa upande wa pili na kupelekea machafuko.
Nchi hii ni yetu sote, tusikubali hawa waliovimbiwa kutuharibia nchi yetu ni lazima kuwakemea kwa umoja wetu.

ccm ni janga la kitaifa

kama kipindupindu
 
tulia tu boss

dozi itakutosha muda sio mrefu

Kukusaidia usiwe unasema hivyo kwa mwelewa kwani "hicho ni kivuli chako", ya usoni mwako unajitahidi kuyaficha kisogoni wakati ni yako. "Mgombea wenu fake.juma2 njema.
 
asante

au ungependelea kikombe cha babu

Yesu alikufundisha Tajiri kuingia mbinguni hadi mujiza. Juma2 njema nawe fanya matendo ya huruma achana na matajiri lowasa anamarafiki zake sio wewe.
 

Attachments

  • 1440922686824.jpg
    1440922686824.jpg
    31.5 KB · Views: 175
  • 1440922714050.jpg
    1440922714050.jpg
    66.5 KB · Views: 167
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi.

Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha kijembe kwa wapinzani na kusema wanaosema wanatafuta ukombozi ni wapumbavu na malofa.

“Kuna vyama vinajifanya vinataka kuleta ukombozi, ukombozi uliletwa na ASP na TANU, hao wanaojiita vyama vya ukombozi ni wapumbavu, … ni malofa, nchi hii ilikwisha kombolewa na sasa inaendelea kuikomboa kwa kupambana ana umasikini, ujinga na maradhi na ndo kazi imekuwa ikifanywa na serikali zote zilizopita kuanzia ile ya awamu ya kwanza na hii inayokuja itafanywa na serikali ya Dk. Magufuli,” alisema.

Mzee niliyemzoea kwa hoja zenye mashiko na takwimu akageuka mlevi asiyejiheshimu.

Kweli ufalme wa CCM umefitinika.Kati ya mambo ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakiitofautisha brand ya CCM na Upinzani ni kule kutumia lugha zenye staha,kuhubiri amani na kuiishi.Jana rasmi CCM imevunja ndoa yake na sifa hizi.

Sasa tunaanza kupata picha tukimtazama Makonda, baadae Nape,Wasira,Kamani,Job Ndugai na sasa Mkapa tunaona CCM mpya inayozaliwa; brand ya ngumi,matusi na lugha za mihemko.

Mimi niwaambie tu,busara na hekima ni tunu ila ujinga hafundishwi mtu.Ni suala la kuamua tu!

Magufuli karibu UKAWA,you are a good manager but not a leader.

BURIANI CCM!



Kwa kweli amevunja hikma labda kama siasa ndo huwaga hivo!
 
Last edited by a moderator:
Sikutumwa kuomba radhi wala mimi si msemaji wa chama. Lakini, kama kada wa CCM, najitokeza mbele yenu waungwana wa Tanzania kuwaomba radhi, kama alivyofanya jana Zitto Kabwe, kwa kuitwa wapumbavu na malofa. Najua kwenye jukwaa la kampeni, muongeaji hujawa na tashwishwi na hata mihemko ya hapa na pale. Mzee Mkapa aliteleza. Kuwaita wa vyama vya upinzani wanaojiita wakombozi ni mapumbavu na malofa haikuwa sahihi.

Jambo hili linakiathiri chama chetu cha mapinduzi na kuchora taswira hasi kwa wananchi. Si jambo dogo hata kidogo.Tafadhalini watanzania, tunawaomba radhi kama CCM na tunaahidi kutorudia tena. Tupeni nafasi ya kujirekebisha kama chama cha siasa chenye mkusanyiko wa watu na vitu. Nasema na kurudia,nyinyi wapinzani si wapumbavu wala malofa. Please, forgive and forget.

NYINYI WATANZANIA, WAKIWEMO WAPINZANI, SI WAPUMBAVU WALA MALOFA!
 
Wewe mwenyewe ni pmbf na lofer. Mtu akija kuomba radhi kwa jina la CCM ni kama umetuongezea tusi.
 
Back
Top Bottom