Elections 2010 Mzee mkapa: Kumbe kokoto zimetengeneza zege?

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Katika kufunga kampeni kulikuwepo na mambo yaliyonenwa kwa jazba.
1. Wapinzani ni Kokoto.

2. Nawaalaani viongozi wa dini wala siwakemei.

Hizi ni kauli zilizotolewa na Rais wa awamu ya tatu Mh. B. W. Mkapa

Kwa upande wa kokoto inaonekana zimeanza kutengeneza Zege nzito zinazojenga mnara ulio mrefu kuliko baadhi ya milima.

Kwa upande wa kuwalaani viongozi wa dini nadhani ni pale ambapo bado tunadhani viongozi wa dini wana chuki na chama au watu.
Viongozi wa dini wanaona utaifa ni wa muhimu kuliko wa chama.
Kama wakiona mambo yahusuyo maslahi ya taifa yanaenda mrama basi wanapoongea sio kwa sababu nyingine. Kuna ahadi juu ya hawa watumishi wa Mungu wanaposimamia haki, ahadi kuhusu atakayewabariki atakuwa amebarikiwa na atakayewalaani ....
 
Mkapa uzee umemjia vibaya..anastahili kuomba radhi,kisha tumsute kabla hajafunzwa adabu..anaharibu CV za wazee wa umri wake
 
Mkapa uzee umemjia vibaya..anastahili kuomba radhi,kisha tumsute kabla hajafunzwa adabu..anaharibu CV za wazee wa umri wake

Siyo uzee, ndivyo alivyo tango mwanzo. Hajaanza matusi leo. Kwa ujumla ccm ngazi ya juu hawana heshima hata chembe kwa wananchi. Nadhani sasa watashika adabu
 
alitaka viongozi wa dini waubebe ufisadi dhambi iwe juu yao?
 
katika kufunga kampeni kulikuwepo na mambo yaliyonenwa kwa jazba.
1. Wapinzani ni kokoto.

2. Nawaalaani viongozi wa dini wala siwakemei.

Hizi ni kauli zilizotolewa na rais wa awamu ya tatu mh. B. W. Mkapa

kwa upande wa kokoto inaonekana zimeanza kutengeneza zege nzito zinazojenga mnara ulio mrefu kuliko baadhi ya milima.

Kwa upande wa kuwalaani viongozi wa dini nadhani ni pale ambapo bado tunadhani viongozi wa dini wana chuki na chama au watu.
Viongozi wa dini wanaona utaifa ni wa muhimu kuliko wa chama.
Kama wakiona mambo yahusuyo maslahi ya taifa yanaenda mrama basi wanapoongea sio kwa sababu nyingine. Kuna ahadi juu ya hawa watumishi wa mungu wanaposimamia haki, ahadi kuhusu atakayewabariki atakuwa amebarikiwa na atakayewalaani ....

hakika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom