Mzee Mjanja

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
Kuna mzee mmoja aliishi miaka mingi baada ya kujiona keshakua mzee akawaambia wanawe nitakapokufa mimi vunjeni hii nyumba nimeweka mali nyingi hpo chini
Baada ya kufa watoto walivunja ile nyumba na kukuta kasha wakalifungua wakakuta karatasi imeandikwa kama
KAMA NYINYI NI VIDUME BASI JENGENI NYUMBA UPYA.
 
Hahaha dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom