Mzee Mgaya: Mstaafu Sumaye hata akichaguliwa kuiongoza CHADEMA ataendelea kuhudumiwa na serikali na hiyo ni nafuu kwa chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
25,267
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
25,267 2,000
Nilitaka kujua kutoka kwa nguli wa siasa Mzee Mgaya kwamba Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye anahudumiwa na serikali katika maeneo ya ulinzi na kujikimu, je hali itaendelea hivyo hata akiwa Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani?

Mzee Mgaya amesema hizo stahiki ni haki ya mstaafu Mzee Sumaye kwa mujibu wa katiba ya nchi, hivyo ataendelea nazo bila kujali wadhifa wake mpya wa kuwa mpingaji mkuu wa serikali hiyo hiyo inayomsitiri.

Lakini hiyo itakuwa ni faida kwa CHADEMA kwa sababu itaongozwa na mtu asiye na njaa, mwenye uhakika na kesho yake amemalizia mzee Mgaya.

Nawatakia makamanda uchaguzi mwema

Maendeleo hayana vyama!
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,543
Points
2,000

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,543 2,000
Mzee kwa kuwa wewe ni mchambuzi wa siasa za Tanzania hebu tuambie kuzuia mikutano ya vyama vya siasa hasa kwa wapinzani maana CCM wanafanya watakavyo wewe kama mchambuzi unalisemeaje,je Katiba ilianzisha vyama ilisema juu ya Mikutano ya vyama.Naamini hutatafuna maneno utasema mkuu.
 
Mikutano ya siasa ndio siasa yenyewe isipokuwepo ni sawa na kuwa na Kanisa pasipo ibada.

Wapinzani wanafanya mikutano bwashee........ Mfano Chadema hivi karibuni wamefanya mikutano ya uchaguzi katika kanda zote.
 
Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,140
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,140 2,000
Nilitaka kujua kutoka kwa nguli wa siasa mzee Mgaya kwamba Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye anahudumiwa na serikali katika maeneo ya ulinzi na kujikimu, je hali itaendelea hivyo hata akiwa Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani?

Mzee Mgaya amesema hizo stahiki ni haki ya mstaafu mzee Sumaye kwa mujibu wa katiba ya nchi, hivyo ataendelea nazo bila kujali wadhifa wake mpya wa kuwa mpingaji mkuu wa serikali hiyo hiyo inayomsitiri.

Lakini hiyo itakuwa ni faida kwa Chadema kwa sababu itaongozwa na mtu asiye na njaa, mwenye uhakika na kesho yake amemalizia mzee Mgaya.

Nawatakia makamanda uchaguzi mwema

Maendeleo hayana vyama!
Rudi kwa mzee Mgaya muulize kwani Membe akichukuwa fomu ya kugombea Urais kupitia ccm mwaka 2020 anavunja katiba ipi?
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,368
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,368 2,000
Nilitaka kujua kutoka kwa nguli wa siasa Mzee Mgaya kwamba Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye anahudumiwa na serikali katika maeneo ya ulinzi na kujikimu, je hali itaendelea hivyo hata akiwa Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani?

Mzee Mgaya amesema hizo stahiki ni haki ya mstaafu Mzee Sumaye kwa mujibu wa katiba ya nchi, hivyo ataendelea nazo bila kujali wadhifa wake mpya wa kuwa mpingaji mkuu wa serikali hiyo hiyo inayomsitiri.

Lakini hiyo itakuwa ni faida kwa CHADEMA kwa sababu itaongozwa na mtu asiye na njaa, mwenye uhakika na kesho yake amemalizia mzee Mgaya.

Nawatakia makamanda uchaguzi mwema

Maendeleo hayana vyama!
Mchungaji Erasto na yeye kasemaje?
 
Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,140
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,140 2,000
Havunji katiba yoyote bali atakuwa anakwenda kinyume na utamaduni wa chama kama ulivyozoeleka na kukubalika.

Hata hivyo ngoja nimuulize!
Chama kinaongozwa na utamaduni au katiba?
Kwahiyo utamaduni wenu wa kuongozwa na Wakatoliki na waislamu tu hautokoma ili katiba ifuatwe? Maana sisi Lutherani inaonekana hatutakiwi ccm.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
21,761
Points
2,000

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
21,761 2,000
Yani sumaye awe mwenyekiti wa chadema kweli
akishachaguliwa kama Mwenyekiti wa Taifa baada ya wiki kadhaa anaunga Mkono juhudi za Rais za kupeleka Treni uchagani ambayo ilisitishwa safari zake robo karne iliyopita ( 1994-2019)

Ccm Znz tayari wamepewa assignment ya kuwarudisha kundini Eddy Riyami na Mansour kwa ‘gharama yoyote ile ‘

Chadema bakini na Mbowe wenu Msikabidhi Chama chenu kwa akina Sumaye mtakuja kujuta
 
FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
17,165
Points
2,000

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
17,165 2,000
Nilitaka kujua kutoka kwa nguli wa siasa Mzee Mgaya kwamba Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye anahudumiwa na serikali katika maeneo ya ulinzi na kujikimu, je hali itaendelea hivyo hata akiwa Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani?

Mzee Mgaya amesema hizo stahiki ni haki ya mstaafu Mzee Sumaye kwa mujibu wa katiba ya nchi, hivyo ataendelea nazo bila kujali wadhifa wake mpya wa kuwa mpingaji mkuu wa serikali hiyo hiyo inayomsitiri.

Lakini hiyo itakuwa ni faida kwa CHADEMA kwa sababu itaongozwa na mtu asiye na njaa, mwenye uhakika na kesho yake amemalizia mzee Mgaya.

Nawatakia makamanda uchaguzi mwema

Maendeleo hayana vyama!
Hoja si malipo ama marupurupu ya mgombea, hoja je chama kinamuhitaji? na je anakubalika na majority ya wajumbe wa uchaguzi? sauti ya wanachama ndiyo itaamua.
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,543
Points
2,000

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,543 2,000
Mikutano ya siasa ndio siasa yenyewe isipokuwepo ni sawa na kuwa na Kanisa pasipo ibada.

Wapinzani wanafanya mikutano bwashee........ Mfano Chadema hivi karibuni wamefanya mikutano ya uchaguzi katika kanda zote.
Nilitegemea ungenijibu kwa mujibu wa Katiba kama swali langu lilivyo,unaponiambia Chadema wanafanya wakati wa Uchaguzi je ndio Katiba inasema mikutano ifanyike wakati wa chaguzi ?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
25,267
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
25,267 2,000
Hoja si malipo ama marupurupu ya mgombea, hoja je chama kinamuhitaji? na je anakubalika na majority ya wajumbe wa uchaguzi? sauti ya wanachama ndiyo itaamua.
Wanachama wa Chadema wamewahi kumchagua Mwenyekiti wao?!

Mzee Mtei huwa anahudhuria mikutano miwili tu ya kumleta Mwenyekiti na kumleta mgombea urais, unadhani ni kwanini?!
 
Jiwe la Ma

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
524
Points
500

Jiwe la Ma

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
524 500
Nilitaka kujua kutoka kwa nguli wa siasa Mzee Mgaya kwamba Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye anahudumiwa na serikali katika maeneo ya ulinzi na kujikimu, je hali itaendelea hivyo hata akiwa Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani?

Mzee Mgaya amesema hizo stahiki ni haki ya mstaafu Mzee Sumaye kwa mujibu wa katiba ya nchi, hivyo ataendelea nazo bila kujali wadhifa wake mpya wa kuwa mpingaji mkuu wa serikali hiyo hiyo inayomsitiri.

Lakini hiyo itakuwa ni faida kwa CHADEMA kwa sababu itaongozwa na mtu asiye na njaa, mwenye uhakika na kesho yake amemalizia mzee Mgaya.

Nawatakia makamanda uchaguzi mwema

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Mzee anataka kuwaingiza chaka,Sumaye hajawahi kuwa mpinzani wa kweli zaidi aliingia upinzani baada kuona hana mvuto tena kwenye chama chake.

Mbowe ni mpinzani asilia anafit kwenye nafasi ya uenyekiti hata milele maana amekuwa muiba kwa serikali ya ccm tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi.

Mzee Mgaya asiwaingize chaka maana siku zake za kuishi hapa duniani ni chache sana.
 
Forum statistics

Threads 1,381,195
Members 526,015
Posts 33,792,041
Top