Mzee Mgaya: Magufuli viatu vya Nyerere vilimtosha ndio maana wamekumbukwa kwa pamoja 14/10/2021 pale Chato!

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,711
2,000
Sikushangazwa kabisa na namna sherehe za kuzima mwenge zilivyotumika kuwaenzi viongozi wetu wapendwa hayati Nyerere na hayati Magufuli, anasema mzee Mgaya.

Na ndio maana familia nzima ya hayati Nyerere ilikuwa Chato na pale Butiama waliachwa akina Bavicha wakienzi pia, amesisitiza.

Viatu vya Nyerere vilimtosha Magufuli, kama hutaki endelea kununa, amemalizia Mgaya.

Jumaa kareem!
ACHA UONGO Nyerere hakumpiga raia wake Risasi kisa kaambia Ukweli Nyerere hakuuza Nyumba za Serikali bali alijenga
Nyerere hakujipa Nyumba za Serikali pale mbuyuni
Nyerere hakubambikiwa Watu kesi
Nyerere hakunyenyekewa bali aliheshimika
Nyerere hakuwa Mtu wa Visasi vinyongo chuki na Dhulma kwa Raia zake
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,163
2,000
ACHA UONGO Nyerere hakumpiga raia wake Risasi kisa kaambia Ukweli Nyerere hakuuza Nyumba za Serikali bali alijenga
Nyerere hakujipa Nyumba za Serikali pale mbuyuni
Nyerere hakubambikiwa Watu kesi
Nyerere hakunyenyekewa bali aliheshimika
Nyerere hakuwa Mtu wa Visasi vinyongo chuki na Dhulma kwa Raia zake
Tatizo Nyerere aliishi kiujanja ujanja.
 

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,465
2,000
Kwa hiyo unayemjua Nyerere ni wewe au ni nyie?

Ya nini kuandikia mate?

Jikumbushe, yanasemwa haya kumhusu huyo mwamba:

1. Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

2. Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

3. Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

Rebuttal, ni hoja kwa hoja. Za kwako ziko wapi?

Kwani maneno matupu yaliwahi kuvunja mfupa?
Rebuttal against Refusal

*When someone rebuts about something, but the other considers it wrong then he/she is obliged to refute with substantial evidence as to why he/she does agree or disagree.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom