Mzee Mgaya: Magufuli viatu vya Nyerere vilimtosha ndio maana wamekumbukwa kwa pamoja 14/10/2021 pale Chato!

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,930
2,000
Bavicha wanajifanya wanamjua Nyerere
Kwa zaidi ya anavyomjua Lisu. Ukimuuliza Lisu kuhusu mzee mchonga, atakwambia jamaa alikuwa anaishi kiujanja ujanja na kujigea sifa ambazo hakuwa nazo. Afu cha kushangaza mpk leo Lisu hakuwahi kukanusha wala kuomba msamaha kuhusu kauli yake ile.

Kwa hiyo unayemjua Nyerere ni wewe au ni nyie?

Ya nini kuandikia mate?

Jikumbushe, yanasemwa haya kumhusu huyo mwamba:

1. Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

2. Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

3. Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

Rebuttal, ni hoja kwa hoja. Za kwako ziko wapi?

Kwani maneno matupu yaliwahi kuvunja mfupa?
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,012
2,000
Wanalazimisha kumfananisha Baba wa Taifa na huyo dhalimu aliyekuwa janga kubwa la Taifa na aliyeleta ubaguzi mkubwa nchini ukilinganisha ná Baba wa Taifa aliyeleta mshikamano mkubwa sana nchini.

Mzee Acha Kupotosha
Nyerere na Magufuli ni Watu wawili tofauti
Sifa za Nyerere Magufuli hana hata Moja
Nyerere Aliruhusu Mfumo wa Vyama Vingi na hakuwahi kuzuia Mikutano ya Vyama
Nyerere aliilinda Katiba kwa NGUVU zake zote hakuwahi Kuichezea kama Magufuli tumejionea Kinga zikiwekwa,Wabunge waliofukuzwa Uanachama wapo Bungeni
Kamatakamata za Wapinzani utofauti ni Mkubwa sana
Udini Ukabila Ukanda Nyerere hakuutaka lakini Awamu ya 5 umekuwepo
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,930
2,000
Wanalazimisha kumfananisha Baba wa Taifa na huyo dhalimu aliyekuwa janga kubwa la Taifa na aliyeleta ubaguzi mkubwa nchini ukilinganisha ná Baba wa Taifa aliyeleta mshikamano mkubwa sana nchini.

Wako narrow minded kuliko maelezo. Kama una hoja si unapinga hoja kwa hoja?

Hoja kwa viroja?

Hiiiiii bagosha!
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,562
2,000
Sikushangazwa kabisa na namna sherehe za kuzima mwenge zilivyotumika kuwaenzi viongozi wetu wapendwa hayati Nyerere na hayati Magufuli, anasema mzee Mgaya.

Na ndio maana familia nzima ya hayati Nyerere ilikuwa Chato na pale Butiama waliachwa akina Bavicha wakienzi pia, amesisitiza.

Viatu vya Nyerere vilimtosha Magufuli, kama hutaki endelea kununa, amemalizia Mgaya.

Jumaa kareem!
johnthebaptist umeamua kumtukana Baba wa Taifa mazima!! Yule pimbi wa Chato muuaji, MWONGO na mwizi afananishwe na akina Mobutu au Iddi Amin tu
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,361
2,000
Wanalazimisha kumfananisha Baba wa Taifa na huyo dhalimu aliyekuwa janga kubwa la Taifa na aliyeleta ubaguzi mkubwa nchini ukilinganisha ná Baba wa Taifa aliyeleta mshikamano mkubwa sana nchini.
Basi tumfananishe Tundu Lisu na Tuntemeke Sanga muasisi wa Chadema!
 
  • Haha
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,012
2,000
Lissu is a presidential material and much better than Chifu Hang ya in so many ways. Juzi nilicheka sana kule Maria Space alipotamka Wamanga koko kisha kuongeza ubaguzi is everywhere in our beautiful planet.

MHahahaaaa......... Kwahiyo atagombea tena 2030?
 
torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
436
1,000
Mzee Acha Kupotosha
Nyerere na Magufuli ni Watu wawili tofauti
Sifa za Nyerere Magufuli hana hata Moja
Nyerere Aliruhusu Mfumo wa Vyama Vingi na hakuwahi kuzuia Mikutano ya Vyama
Nyerere aliilinda Katiba kwa NGUVU zake zote hakuwahi Kuichezea kama Magufuli tumejionea Kinga zikiwekwa,Wabunge waliofukuzwa Uanachama wapo Bungeni
Kamatakamata za Wapinzani utofauti ni Mkubwa sana
Udini Ukabila Ukanda Nyerere hakuutaka lakini Awamu ya 5 umekuwepo
Utakuwa umesahau uraia mkuu, aliyeleta mfumo wa nyama vingi sio Nyerere, ni mtangulizi wake.

Kipindi cha Nyerere nchi ilikua ni one party state

Nyerere ndio Raisi pekee aliyeishi madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ( 64 - 85 ) na KATIBA ilikuwepo.
 
Achimwene wa Makete

Senior Member
Oct 13, 2021
133
500
Utakuwa umesahau uraia mkuu, aliyeleta mfumo wa nyama vingi sio Nyerere, ni mtangulizi wake.

Kipindi cha Nyerere nchi ilikua ni one party state

Nyerere ndio Raisi pekee aliyeishi madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ( 64 - 85 ) na KATIBA ilikuwepo.
Mtangulizi wa Nyerere ni nani? Elewa tu ni pressure ya magharibi na influence ya Nyerere ndio ilirudisha mfumo wa vyama vingi, tulikuwa na vyama vingi kabla ya uhuru.
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,560
2,000
Sikushangazwa kabisa na namna sherehe za kuzima mwenge zilivyotumika kuwaenzi viongozi wetu wapendwa hayati Nyerere na hayati Magufuli, anasema mzee Mgaya.

Na ndio maana familia nzima ya hayati Nyerere ilikuwa Chato na pale Butiama waliachwa akina Bavicha wakienzi pia, amesisitiza.

Viatu vya Nyerere vilimtosha Magufuli, kama hutaki endelea kununa, amemalizia Mgaya.

Jumaa kareem!
Nyerere hakua na file mirembe la uchizi,sio maneno yangu ni maneno ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza,yani team sukuma gang
 
mkamanga original

JF-Expert Member
Jan 21, 2015
541
1,000
Mi nawaonaga wanao msifia magufuri kama machizi tu, wasio na akili. Kiongozi gani asiyekubali kukosolewa, nchi nzima alikuwa anaongea yeye tu,mwanaume alikuwa yeye tu. Wengine wote tulikuwa kama misukule tu, ukitaka kuongea ilikuwa lazima uende chumbani kwako ukaongelee chini ya uvungu, tenaukiwa umejihakikishia mkeo hayupo. Sasa hayo yalikuwa maisha gani.
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
5,412

Basi wewe usiye chizi endelea kumsifia mr #dishlimetilt anayeshikishwa ukuta huko majuu ujiburudishe.
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
44,655
2,000
Sikushangazwa kabisa na namna sherehe za kuzima mwenge zilivyotumika kuwaenzi viongozi wetu wapendwa hayati Nyerere na hayati Magufuli, anasema mzee Mgaya.

Na ndio maana familia nzima ya hayati Nyerere ilikuwa Chato na pale Butiama waliachwa akina Bavicha wakienzi pia, amesisitiza.

Viatu vya Nyerere vilimtosha Magufuli, kama hutaki endelea kununa, amemalizia Mgaya.

Jumaa kareem!
Mwendawazimu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom