Mzee Mgaya: Magufuli viatu vya Nyerere vilimtosha ndio maana wamekumbukwa kwa pamoja 14/10/2021 pale Chato!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,362
2,000
Sikushangazwa kabisa na namna sherehe za kuzima mwenge zilivyotumika kuwaenzi viongozi wetu wapendwa hayati Nyerere na hayati Magufuli, anasema mzee Mgaya.

Na ndio maana familia nzima ya hayati Nyerere ilikuwa Chato na pale Butiama waliachwa akina Bavicha wakienzi pia, amesisitiza.

Viatu vya Nyerere vilimtosha Magufuli, kama hutaki endelea kununa, amemalizia Mgaya.

Jumaa kareem!
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,390

Puropa kazini, basi tumemwelewa Muzee Mugaya
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,362
2,000
Ndio nani?
Jukwaa hili mmelifanya kama kijiwe cha kahawa!Inafikia wakati watu hawapati fursa ya kuona mabandiko yenye maana kwasababu ya nyuzi kama hizi!

Kuna jukwaa la jokes,ungepeleka hizi nyuzi huko!
Wewe hujaiona familia ya Nyerere ikiwa Chato jana?

Wewe hujawaona Bavicha wakiwa peke yao kwenye kaburi la Nyerere?

Au utani ni nini labda?!
 
Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,164
2,000
Hata Litundu analijua hilo
20211015_160859.jpg
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,012
2,000
UPUUZI MTUPU!!!!

Sikushangazwa kabisa na namna sherehe za kuzima mwenge zilivyotumika kuwaenzi viongozi wetu wapendwa hayati Nyerere na hayati Magufuli, anasema mzee Mgaya.

Na ndio maana familia nzima ya hayati Nyerere ilikuwa Chato na pale Butiama waliachwa akina Bavicha wakienzi pia, amesisitiza.

Viatu vya Nyerere vilimtosha Magufuli, kama hutaki endelea kununa, amemalizia Mgaya.

Jumaa kareem!
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,711

Mzee Acha Kupotosha
Nyerere na Magufuli ni Watu wawili tofauti
Sifa za Nyerere Magufuli hana hata Moja
Nyerere Aliruhusu Mfumo wa Vyama Vingi na hakuwahi kuzuia Mikutano ya Vyama
Nyerere aliilinda Katiba kwa NGUVU zake zote hakuwahi Kuichezea kama Magufuli tumejionea Kinga zikiwekwa,Wabunge waliofukuzwa Uanachama wapo Bungeni
Kamatakamata za Wapinzani utofauti ni Mkubwa sana
Udini Ukabila Ukanda Nyerere hakuutaka lakini Awamu ya 5 umekuwepo
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,930
2,000
Sikushangazwa kabisa na namna sherehe za kuzima mwenge zilivyotumika kuwaenzi viongozi wetu wapendwa hayati Nyerere na hayati Magufuli, anasema mzee Mgaya.

Na ndio maana familia nzima ya hayati Nyerere ilikuwa Chato na pale Butiama waliachwa akina Bavicha wakienzi pia, amesisitiza.

Viatu vya Nyerere vilimtosha Magufuli, kama hutaki endelea kununa, amemalizia Mgaya.

Jumaa kareem!

Labda alimaanisha Steve siyo Julius 😁😁
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,602
2,000
Bavicha wanajifanya wanamjua Nyerere zaidi ya anavyomjua Lisu. Ukimuuliza Lisu kuhusu mzee mchonga, atakwambia jamaa alikuwa anaishi kiujanja ujanja na kujigea sifa ambazo hakuwa nazo. Afu cha kushangaza mpk leo Lisu hakuwahi kukanusha wala kuomba msamaha kuhusu kauli yake ile. Na hii ndio sababu inayomfanya aangukie pua kwa kila analofanya kuanzia lile ombi lake la kuomba tanzania iwekewe vikwazo, inyimwe, misaada, serikali ishitakiwe na mabeberu waliokuwa wanajichotea dhahabu zetu na kubwa zaidi ni anguko la uchaguzi mkuu ambao hatokufa anausahau katika maisha yake hapa duniani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom