Uchaguzi 2020 Mzee Mgaya: Hata Mungu aliumba vitu kwanza kisha akamuumba binadamu akianza na Adam kisha Hawa, CCM wako sahihi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
36,517
2,000
Kada mkongwe amekubaliana na sera za CCM kwa kuleta maendeleo ya uchumi kwanza na kupitia kuboreka kwa uchumi ndipo maendeleo ya mtu mmoja mmoja huja.

Mgaya anakubaliana na Dr Magufuli kwamba kuanzia 2021 ndio maendeleo ya mtu yachukue nafasi yake tukianza na maboresho ya maslahi ya Wafanyakazi.

Mgaya amewataka pia Chadema wajenge jengo la kisasa la ofisi badala ya kutumia nyumba ya makazi kama ofisi.

Maendeleo hayana vyama!
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
2,979
2,000
Na pesa pia ni kitu!!

Kwani kisichokuwa kitu ni nini?

Nadhani kuna watu wamechanganyikiwa, NAO si wengine ni machadema!
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,084
2,000
Sasa mbona Mungu ameshaumba watu, vipi nyie mnarudia tena kuumba vitu ambavyo tayari Mungu alishaviumba?

Mwambie huyo mzee wako sasa wanatakiwa watu ambao Mungu alishawaumba watengenezewe mazingira mazuri ya kuvitumia na kuvimiliki vitu walivyoumbiwa na Mungu (ajira, sekta binafsi iwezeshwe), sio kurudia tena kuumba vitu Mungu alishamaliza hilo.
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,655
2,000
Buku seven wamebakia na hoja zaifuzaifu

Nec na Zec wameufanya uchaguzi kama faragha ya Ndoa na Mawakala wamefanywa Makungwi wakati Chaguzi za dunia ni Transparent
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
45,185
2,000
Ngoja tuone, kama itakua kweli...

Sababu kuna binadamu hawajawahi kusimama kwenye matamko yao wenyewe...Cc: mahondaw
 

MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
6,937
2,000
Jinga sana huyu babu.. huo mfano wake ni irrelevant kwa sasa. Sawa wakati Mungu anaumba hivyo vitu binadamu walikuwa bado hawapo, sasa kwa magufuli binadamu/wananchi tayari wapo huwezi shughulika na vitu halafu ndo uanze shughulika na binadamu..
 

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
7,186
2,000
Sasa mbona Mungu ameshaumba watu, vipi nyie mnarudia tena kuumba vitu ambavyo tayari Mungu alishaviumba?

Mwambie huyo mzee wako sasa wanatakiwa watu ambao Mungu alishawaumba watengenezewe mazingira mazuri ya kuvitumia na kuvimiliki vitu walivyoumbiwa na Mungu (ajira, sekta binafsi iwezeshwe), sio kurudia tena kuumba vitu Mungu alishamaliza hilo.
Huna akili kabisa we mwana ufipa. Yaani barabara,madaraja,shule,vituo vya afya na hospital aliviumba Mungu?
 

Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,395
2,000
Ushauri mzuri kabisa huu chama hakina hata ofisi za kueleweka na kinapata ruzuku.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM maana hao Chadomo ofisi tu zimewashinda ndo wataiweza nchi?

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom